Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,256
- 2,862
Asante sana mkuu.Umeandika kwa Hisia Pole Sana.
Unaruhusiwa kuhamia huo upande!Salaam wapendwa,
Roho inaniuma sana ninaposhuhudia ndugu zetu wa upande wa pili wakiwa huru kuoa hadi wake wanne!kwa mambo ninayoyapitia nadhani ni haki yangu roho iniume.Kwa mfano hapa jirani leo baba Nasra anaongeza mke wa tatu na pilau linapikwa hapa,mbuzi wamechinjwa...tuyaache hayo...
Ombi langu ni hili,sehemu fulani katika biblia tunashauriwa tuoe mke mmoja tu(kwa wanaume)na hapo tutakuwa kitu kimoja na ukitoka nje ya ndoa unakuwa unazini!.Lakini nadhani ule ni ushauri tu na si amri.Sasa basi,kwanini tusiandae kongamano la wakristo turekebishe huu ushauri?ili nasisi tubwede kuoa wake hata watano tu,ili mmoja akileta nyodo unaenda kwa mwingine?
..
..
Nawasilisha.
ahhahahhha, ukiona hivyo ujue kwa ndoa hizi, atakuwa maji yamefika puani, hahahahahahahahahaahUmeandika kwa Hisia Pole Sana.
Kwa waislam Hakuna nyumba ndogo wote ni wake kihalali Kama Umeona hata kama ni wanne Nikusahihishe kidogo.Waislamu nawapongeza kwani hawana unafiki, wanahalalisha mke zaidi ya mmoja. Sisi mke mmoja na nyumba ndogo kibao. Ni uuungwana!! Mke mmoja akiambiwa na doctor asifanye mapenzi mwaka mzima, mwanaume utavumilia mwaka wote? Ihalalishwe ili nyumba ndogo ziwe rasmi. Hayo ni maoni yangu, huku mtaani naona mengi
Yaaniahhahahhha, ukiona hivyo ujue kwa ndoa hizi, atakuwa maji yamefika puani, hahahahahahahahahaah
We acha tu mkuuahhahahhha, ukiona hivyo ujue kwa ndoa hizi, atakuwa maji yamefika puani, hahahahahahahahahaah
tuombe MunguMh,itawezekana kweli
Salaam wapendwa,
Roho inaniuma sana ninaposhuhudia ndugu zetu wa upande wa pili wakiwa huru kuoa hadi wake wanne, kwa mambo ninayoyapitia nadhani ni haki yangu roho iniume.Kwa mfano hapa jirani leo baba Nasra anaongeza mke wa tatu na pilau linapikwa hapa, mbuzi wamechinjwa tuyaache hayo.
Ombi langu ni hili, sehemu fulani katika biblia tunashauriwa tuoe mke mmoja tu (kwa wanaume) na hapo tutakuwa kitu kimoja na ukitoka nje ya ndoa unakuwa unazini!.Lakini nadhani ule ni ushauri tu na si amri.Sasa basi,kwanini tusiandae kongamano la wakristo turekebishe huu ushauri ili nasisi tubwede kuoa wake hata watano tu, ili mmoja akileta nyodo unaenda kwa mwingine?
Nawasilisha.
Naona anatafuta njia ya kutokea.Hiyo ndio shida ya kukosea kuoa mkuu pole sana
Endelea kukitimiza kiapo tu '' Katika shida na raha, katika afya na ugonjwa''
Haswaaa tena aliapa mbele ya kasisi "Fulani nakupokea uwe mke wangu, katika shida na raha, hadi kifo kitutenganishe"!Hiyo ndio shida ya kukosea kuoa mkuu pole sana
Endelea kukitimiza kiapo tu '' Katika shida na raha, katika afya na ugonjwa''
Sema hakyamunguUnaruhusiwa kuhamia huo upande!