Wakristo wenzangu, kwanini tusiombe na sisi tuoe wake wanne?

Nelson nely

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
4,256
2,861
Salaam wapendwa,

Roho inaniuma sana ninaposhuhudia ndugu zetu wa upande wa pili wakiwa huru kuoa hadi wake wanne, kwa mambo ninayoyapitia nadhani ni haki yangu roho iniume.Kwa mfano hapa jirani leo baba Nasra anaongeza mke wa tatu na pilau linapikwa hapa, mbuzi wamechinjwa tuyaache hayo.

Ombi langu ni hili, sehemu fulani katika biblia tunashauriwa tuoe mke mmoja tu (kwa wanaume) na hapo tutakuwa kitu kimoja na ukitoka nje ya ndoa unakuwa unazini!.Lakini nadhani ule ni ushauri tu na si amri.Sasa basi,kwanini tusiandae kongamano la wakristo turekebishe huu ushauri ili nasisi tubwede kuoa wake hata watano tu, ili mmoja akileta nyodo unaenda kwa mwingine?

Nawasilisha.
 
Waislamu nawapongeza kwani hawana unafiki, wanahalalisha mke zaidi ya mmoja. Sisi mke mmoja na nyumba ndogo kibao. Ni uuungwana!! Mke mmoja akiambiwa na doctor asifanye mapenzi mwaka mzima, mwanaume utavumilia mwaka wote? Ihalalishwe ili nyumba ndogo ziwe rasmi. Hayo ni maoni yangu, huku mtaani naona mengi
 
Salaam wapendwa,
Roho inaniuma sana ninaposhuhudia ndugu zetu wa upande wa pili wakiwa huru kuoa hadi wake wanne!kwa mambo ninayoyapitia nadhani ni haki yangu roho iniume.Kwa mfano hapa jirani leo baba Nasra anaongeza mke wa tatu na pilau linapikwa hapa,mbuzi wamechinjwa...tuyaache hayo...
Ombi langu ni hili,sehemu fulani katika biblia tunashauriwa tuoe mke mmoja tu(kwa wanaume)na hapo tutakuwa kitu kimoja na ukitoka nje ya ndoa unakuwa unazini!.Lakini nadhani ule ni ushauri tu na si amri.Sasa basi,kwanini tusiandae kongamano la wakristo turekebishe huu ushauri?ili nasisi tubwede kuoa wake hata watano tu,ili mmoja akileta nyodo unaenda kwa mwingine?
..
..
Nawasilisha.
Unaruhusiwa kuhamia huo upande!
 
Hii ni philosopy ambayo ilitumia hekima na busara kubwa kuhakikisha waislamu wanaona mke zaidi ya mmoja..

Population ya Dada zetu ni kubwa kuliko hata leo hii tukisema wanaume woote tuoe mmoja mmoja bado watabaki weeengi sana.. hawa ndugu zetu huwa wanaingia hedhi zaidi ya siku tatu, je katika hizo siku tatu mnalala kitanda kimoja unaishije..
Hawa ndugu zetu wanashika Mimba miezi tisa kwa bahati mbaya Mimba za wengine zinakuwa na tabia tofauti na changamoto tofauti juu ya mahusiano..

KUBWA KULIKO HAO WENYE MKE MMOJA WAULIZE WANAMICHEPUKO MINGAPI SASA SI BORA UOE TU NA HIYO MICHEPUKO TUJUE MOJA..
 
Waislamu nawapongeza kwani hawana unafiki, wanahalalisha mke zaidi ya mmoja. Sisi mke mmoja na nyumba ndogo kibao. Ni uuungwana!! Mke mmoja akiambiwa na doctor asifanye mapenzi mwaka mzima, mwanaume utavumilia mwaka wote? Ihalalishwe ili nyumba ndogo ziwe rasmi. Hayo ni maoni yangu, huku mtaani naona mengi
Kwa waislam Hakuna nyumba ndogo wote ni wake kihalali Kama Umeona hata kama ni wanne Nikusahihishe kidogo.
 
Salaam wapendwa,

Roho inaniuma sana ninaposhuhudia ndugu zetu wa upande wa pili wakiwa huru kuoa hadi wake wanne, kwa mambo ninayoyapitia nadhani ni haki yangu roho iniume.Kwa mfano hapa jirani leo baba Nasra anaongeza mke wa tatu na pilau linapikwa hapa, mbuzi wamechinjwa tuyaache hayo.

Ombi langu ni hili, sehemu fulani katika biblia tunashauriwa tuoe mke mmoja tu (kwa wanaume) na hapo tutakuwa kitu kimoja na ukitoka nje ya ndoa unakuwa unazini!.Lakini nadhani ule ni ushauri tu na si amri.Sasa basi,kwanini tusiandae kongamano la wakristo turekebishe huu ushauri ili nasisi tubwede kuoa wake hata watano tu, ili mmoja akileta nyodo unaenda kwa mwingine?

Nawasilisha.

Hahahaaha, Mkuu umenifanya nicheke sana, eti hapa jirani baba Nasra anaongeza mke wa tatu na pilau juu. Viongozi wa kidini yafanyieni kazi maombi ya waumini wenu, maana kiuhalisia huko mitaani hali halisi inaonekana. Bora iwe halali kulilo kuchepuka.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom