Wakristo nunueni na kusoma vitabu vya Waislamu. Msikae mnatukanwa tu na mnanyamaza. Jibuni hoja. Vitabu vya kislamu vimejawa na takataka nyingi sana ambazo mkiziweka bayana watafunga mdomo.
Humo hata hayo mambo wanayopenda kuyataja mdomoni mwao dhidi ya Ukristo, yamejaa tele.
Picha: ni ufafanuzi wa Quran 2:223 na hapo ni sehemu chache tu, yapo mamia ya nukuu humo katika Quran hiyo ya Kishia ambazo imenukuu sunah nyingi za kisuni na kishia katika ufafanuzi kuunga mkono uovu huo.
View attachment 3583290
View attachment 3583291
Kifupi Waislamu wanaishi kwenye nyumba ya vioo huku ni hodari wa kurusha mawe. Na wanaporushiwa wao, wanadai ni chuki. Msiwe wanyonge, jibuni kwa hoja. Matendo 18:28.
Biblia ni kitabu cha vitabu: Imeonya hayo:
[26] Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili; [27] wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.Rum 1:26-27 SUV
Wakiwaita Mashoga, mwambie watoe andiko kwenye Biblia kama watalipata. Lakini wao wanaongozwa na Quran, Sunah na Sira nk, humo ni pa moto kwa takataka na mengine .
View attachment 3583292
View attachment 3583293
View attachment 3583294View attachment 3583295View attachment 3583296View attachment 3583298View attachment 3583299View attachment 3583300View attachment 3583301View attachment 3583302View attachment 3583303