Wakosoaji wa Serikali wanatumwa?

Zitto basi zungumzia na shida za Waha wenzako huko Kibirizi,wewe kila siku na serikali,sijui serikali imekukosea nini,basi isusie mshahara wako na marupurupu yaliyokufanya uwe tajiri,kila siku wewe ni kwenye mitanadao sijui unatatua vipi keri za Waha wenzako,nadhani umemsikia Msigwa aliyoyasema huko Iringa,pia imarisha chama chako kwa sasa huna tofauti na Mbatia wa NCCR
 
ch
 
Uhuru Kenyatta anatumia makosa anayofanya Jiwe kujisahihisha.Sasa amekuwa kinara wa siasa za kistaarabu Afrika!
 
ACHA UONGO WEWE MNYONGE GANI UMEMTETEA HAPO KAMA SIO KUTETEA TUMBO LAKO

Niko hapa kusimamia ukweli tu kwa manufaa ya wanyonge...vibaraka wa wazungu wametumia suasa kutuharibia nchi kwa muda mrefu sana
 
Ukosoaji uliobeba maudhui ya kufitinisha yanatakiwa yapokelewe kwa chuki kama ilivyokuwa kwenye chama chetu cha awali.

Njia bora ni kutoa wazo mbadala badala ya kuwa mlalamikaji wa kila jambo bila kutoa suluhisho la kudumu.
Yale uliyotoa suluhisho yote yalipokelewa vizuri na kufanyiwa kazi lakini yale yenye mlengo wa kukashifu yatakuletea usumbufu mkubwa
 
hakika wewe ni mzalendo umeandika uzi uliojipambanua vizuri kabisa usio na shaka wala bashasha isipokuwa unanipa mshawasha wa kuupitia several times.
thank you.
 
Wakosoaji wa Serikali wanatumwa?

Kwa mwananchi, hakuna uzalendo bora zaidi kuliko uzalendo wa kuikosoa Serikali ya nchi yako. Uzalendo mkubwa zaidi ni kuitetea nchi yako, si Serikali! NCHI yako.
Ni sahihi 100%
 
Sina uhakika kama umeielewa au kusoma vizuri hoja mheshimiwa ZZK.You have got good point but irrelevant
 


kinachoendelea dodoma saa hizi huu mzimu wa daudi balali unatujuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…