Wakosoaji wa Serikali mnalitesa Taifa kama hamjuwi

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,278
Reaction score
14,337
Upo msemo unasema kosoa kwa sauti ya chini ila sifia kwa nguvu zote.

Mimi nataka kusema zipo I'd humu kiukweli hata shetani anazikana Yani wanakosoa mpaka mambo yakipumbavu some time unaweza Sema hawa ni malaika wakutoa Roho vile wanakosoa. Kiukweli hizi id zina litesa taifa na kuwatesa watu wale wanakosoa kwa hekima na akili.

Kwa mfano mtu kukosoa serikali Eti huja enda kwa wenzako unataka watu waje kwako embu walimwengu nielimisheni kosa la huyu kiongoz wetu wakitaifa lipo wapi? Hivi kweli kuna mkutano wakitaifa serikali yetu haijatuma uwakilishi? Je nin maana ya team work ktk taasisi na serikali? Au ndio kila kitu afanye rais ndio tuanze kusema hawapi fursa wengine?

Mbona huyu Rais ni good team player kwakuwa anawapa wenzake nafasi wakamuwakilishe sasa kinacho wauma nini? Hivi tukisema wakosoaji wengine nimalaika kutoka kuzimu mtakataa?

Watu badala yakukosoa mambo ya maana mnakosoa mambo yakipuuzi kabisa kiasi hata mwenye nchi akisoma Anafanya bad decision kwa upumbavu wa mtu mmoja mjinga mahali anakosoa mambo yakijinga kabisa.

Rais mstaafu alipo ruka kwenda nje mkaanza kusema anaruka hata anamuda na watu wake na anatafuna pesa zetu huyu ameona ajikalie na apunguze matumizi kwakutuma wasaidizi wake mnakosoa jaman walimwengu nisaidieni kama hawa watu wakati wana andika kama wanajuwa hawana faham zakibinadam na kazi yao nikuchafuwa hali ya hewa pale magogoni.

Kiukweli mnalitesa taifa mnalitesa taifa kwa ukosoaji wenu wakijinga usio waza Wala kuwazuwa nakujiuliza nia njema ya rais ktk swala lakutoka nje ya taifa kila wakati.

Sasa kwa taarifa yako mngewekewa kiasi ikulu ime save ktk punguza safari za rais ungekufa presha na ndio maana anasema wengine wataweza? Akijuwa kuna mijitu mijinga kama waha wanakosoa kila kitu hata vile wanapaswa kuwa kimmya wanakosoa Aibu kwakweli Aibu kubwa sana.

Mnakosoa sgr mnakosa ndege kununuliwa mnakosoa kila kitu mlitaka nini hasa nyie watu I wish kama serikali ingeweza kuwaona hawa watu wasio hata na chembe ya uzalendo ili tujuwe nyuma yao wapo Akina nani na kwa masilahi ya nani?

Ndugu zangu taifa hili tumepoteza muda sana kwa ujinga wakukosoa pasipo kuwa na majibu. Na kama huyu Rais angefunguwa macho soma post zenu zakipuuzi sijuw ingekuwaje.

Tunayo haki kukosoa serikali ila kukosoa hata yale tunajuwa yameligharimu taifa. Tena kodi zetu kiukweli inanipa shida sana.

Basi kama hamkubali juhudi za serikali hii kaeni kimya muone kama mawe na wanyama na upepo havija sifu.
Huyu ni Rais mzalendo ndio tunashikishwa adabu ila taifa hili haitokuwa taifa lakawaida let work hard and smart while we support our president and all leaders. Nawa apia mtashangaa ila tukiendelea kunung'unika Mungu hawez chelea kuwajibu maana imewapasa kutokuiona Tanzania mpya kama vile Mungu aliwatowesha wana Israel pale jangwan kwa manung'uniko yao.
 
Kwanza tunashukuru ukosoaji unawafikia. Tulitarajia ungesema ukosoaji upi ni sawa na tuone mkijirekebisha, sio kusema tu kuna baadhi ya ukosoaji ni wa kijinga. Halafu kuhusu kusafiri hakuna anayetaka rais asafiri kila siku kwani kitu chochote kikizidi ni tatizo. Ila watu hawajasema asisafiri kabisa. Na iwapo husafiri unapata wapi nguvu ya kualika wenzako wenye vyeo kama we, au hawana wawakilishi? Kwa taarifa yako humu ni uwanja mpana sana sio kwamba watu wote humu wanakosoa vyote. Kuna anayekosoa ndege na ana sababu za msingi na hakosoi reli. Kuna anayekosoa mwenendo wa demokrasia na hakosoi ujenzi wa bwawa la umeme. Sasa kufanya kwamba kuna wanaokosoaji tu bila kuweka kipi ni ukosoaji sahihi na mmejirekebisha vipi hilo ni tatizo lenu.

Kama umeamua kusifia kila kitu sifia mpaka uchoke maana unafaidika binafasi na uwepo wa serikali hii. Chochote afanyacho kiongozi ni wajibu wake maana analipwa mshahara na sio kujitolea. Usiongee kama ni ya kazi ya kujitolea. Halafu ukosoaji ni jambo la kawaida kwa nafasi yoyote ya uongozi. Ukiona mtu hataki kukosolewa ujue huyo hakupaswa kuwa kiongozi.
 
Loud and clear,we are together man
 
Kwaio unawashauri nini wale wanaosifia vitu vya kijinga vinavyofanywa na hii serikali? Maana kama kyna wakosoaji basi lazima wawepo wasifiaji...hapo inakua 50/50 ila ni ujinga kutaka kusikia pambio tuuu
Taja mfano wa vitu vya kijinga vinavyosifiwa kila mara ili twende sawa
 
Mkuu Mungu kaumba binadamu lakini kila mara wanaenda kinyume na taratibu na maagizo yake, kwa hiyo usione ajabu kama kuna watu wanakosoa swala ambalo unaona liko sahihi kwa mtazamo wako. Unaelewa maana ya neno mtazamo (perspective), unaweza kuiona namba 6 lakini katika upande tofauti mwingine akaiona hiyo nanmba kama 9...kwa hiyo ni bora tuvumiliane tu
 
Taja mfano wa vitu vya kijinga vinavyosifiwa kila mara ili twende sawa
Tena wewe ndo kiongozi wa sifa na pambio bila kuwasahu ndugu zako mamayoyoo,cocochanel,etwege mara mlete uzi serikali ifute mahusiano na uingereza, mara sijui waandishi wamelipwa na mabalozi waandike tamkon lao la juzi mara hakuna mpinzani zaidi ya raisi, hakuna aneweza kuvivaa viatu vyake, yani upuuzi upuuuzi wa sifa na kuabudu mwanadamu ndo mliouweka mbele
 
Upo msemo unasema kosoa kwa sauti ya chini ila sifia kwa nguvu zote.

Mimi nataka kusema zipo I'd humu kiukweli hata shetani anazikana Yani wanakosoa mpaka mambo yakipumbavu some time unaweza Sema hawa ni malaika wakutoa Roho vile wanakosoa. Kiukweli hizi id zina litesa taifa na kuwatesa watu wale wanakosoa kwa hekima na akili.

Kwa mfano mtu kukosoa serikali Eti huja enda kwa wenzako unataka watu waje kwako embu walimwengu nielimisheni kosa la huyu kiongoz wetu wakitaifa lipo wapi? Hivi kweli kuna mkutano wakitaifa serikali yetu haijatuma uwakilishi? Je nin maana ya team work ktk taasisi na serikali? Au ndio kila kitu afanye rais ndio tuanze kusema hawapi fursa wengine?

Mbona huyu Rais ni good team player kwakuwa anawapa wenzake nafasi wakamuwakilishe sasa kinacho wauma nini? Hivi tukisema wakosoaji wengine nimalaika kutoka kuzimu mtakataa?

Watu badala yakukosoa mambo ya maana mnakosoa mambo yakipuuzi kabisa kiasi hata mwenye nchi akisoma Anafanya bad decision kwa upumbavu wa mtu mmoja mjinga mahali anakosoa mambo yakijinga kabisa.

Rais mstaafu alipo ruka kwenda nje mkaanza kusema anaruka hata anamuda na watu wake na anatafuna pesa zetu huyu ameona ajikalie na apunguze matumizi kwakutuma wasaidizi wake mnakosoa jaman walimwengu nisaidieni kama hawa watu wakati wana andika kama wanajuwa hawana faham zakibinadam na kazi yao nikuchafuwa hali ya hewa pale magogoni.

Kiukweli mnalitesa taifa mnalitesa taifa kwa ukosoaji wenu wakijinga usio waza Wala kuwazuwa nakujiuliza nia njema ya rais ktk swala lakutoka nje ya taifa kila wakati.

Sasa kwa taarifa yako mngewekewa kiasi ikulu ime save ktk punguza safari za rais ungekufa presha na ndio maana anasema wengine wataweza? Akijuwa kuna mijitu mijinga kama waha wanakosoa kila kitu hata vile wanapaswa kuwa kimmya wanakosoa Aibu kwakweli Aibu kubwa sana.

Mnakosoa sgr mnakosa ndege kununuliwa mnakosoa kila kitu mlitaka nini hasa nyie watu I wish kama serikali ingeweza kuwaona hawa watu wasio hata na chembe ya uzalendo ili tujuwe nyuma yao wapo Akina nani na kwa masilahi ya nani?

Ndugu zangu taifa hili tumepoteza muda sana kwa ujinga wakukosoa pasipo kuwa na majibu. Na kama huyu Rais angefunguwa macho soma post zenu zakipuuzi sijuw ingekuwaje.

Tunayo haki kukosoa serikali ila kukosoa hata yale tunajuwa yameligharimu taifa. Tena kodi zetu kiukweli inanipa shida sana.

Basi kama hamkubali juhudi za serikali hii kaeni kimya muone kama mawe na wanyama na upepo havija sifu.
Huyu ni Rais mzalendo ndio tunashikishwa adabu ila taifa hili haitokuwa taifa lakawaida let work hard and smart while we support our president and all leaders. Nawa apia mtashangaa ila tukiendelea kunung'unika Mungu hawez chelea kuwajibu maana imewapasa kutokuiona Tanzania mpya kama vile Mungu aliwatowesha wana Israel pale jangwan kwa manung'uniko yao.
Na mahala pengine aliwafukuza wana israel mijinga ile kwenda nchi ya babeli maana walikataa kumtii Mungu na kuaza kubudu miungu mingine na mumkosoa Mungu!! Kuna watu unajiuliza sijui ni wahamiaji haramu humu Tanzania ndio wanaokaa wakikosoa kila kitu!!wanatia hasira kwa kweli
 
Kwanza tunashukuru ukosoaji unawafikia. Tulitarajia ungesema ukosoaji upi ni sawa na tuone mkijirekebisha, sio kusema tu kuna baadhi ya ukosoaji ni wa kijinga. Halafu kuhusu kusafiri hakuna anayetaka rais asafiri kila siku kwani kitu chochote kikizidi ni tatizo. Ila watu hawajasema asisafiri kabisa. Na iwapo husafiri unapata wapi nguvu ya kualika wenzako wenye vyeo kama we, au hawana wawakilishi? Kwa taarifa yako humu ni uwanja mpana sana sio kwamba watu wote humu wanakosoa vyote. Kuna anayekosoa ndege na ana sababu za msingi na hakosoi reli. Kuna anayekosoa mwenendo wa demokrasia na hakosoi ujenzi wa bwawa la umeme. Sasa kufanya kwamba kuna wanaokosoaji tu bila kuweka kipi ni ukosoaji sahihi na mmejirekebisha vipi hilo ni tatizo lenu.

Kama umeamua kusifia kila kitu sifia mpaka uchoke maana unafaidika binafasi na uwepo wa serikali hii. Chochote afanyacho kiongozi ni wajibu wake maana analipwa mshahara na sio kujitolea. Usiongee kama ni ya kazi ya kujitolea. Halafu ukosoaji ni jambo la kawaida kwa nafasi yoyote ya uongozi. Ukiona mtu hataki kukosolewa ujue huyo hakupaswa kuwa kiongozi.
Unafaidika nini na kusafiri kwa rais??ebu acha uongo!na Rais hajasema hataki kukuosolewa shida hamtumii staha katika ukosoaji.na kitu kingine ukumbuke rais wetu ni msomi ,mwalimu etc.use your common sense kabla ya Kumkosoa!! Na lingine ni kiwa yeye anatekeleza ilani ya chama chake .kama ni kokosoa mlitakiwa muitaje serikali ya CCM na siyo JPM !!yapo mengi ameyafanya mfano kununua ndege,kujenga madaraja,kujenga reli,kufufua reli,kujenga vituo vya afya ,kusomesha watalaam wa afya,kulipa mishahara kwa wakati ,kuhamia,Dodoma nk,je hayo hayakuwa kwenye ilani ya chama? Akiyafanya hayo kosa lake liko wapi??

Yako ambayo hajayafanya.ebu tumpe muda .na hata asipoyafanya siyo wa kwanza kutoyafanya watakuja wengine watafanya.
 
rais wetu anaouwezo wa kuhimili ukosoaji, na nchi yetu inafaidika kutokana na ukosoaji na mawazo kinzani, sisi sio taifa la makondoo. kama vipi hamia Rwanda.
 
kama huwezi kuvumilia kukosolewa / mawazo kinzani basi ofisi kuu ya nchi iko juu ya uwezo wako!
Shetani alifuzwa mbinguni kwa kumkosoa Mungu!wataka kusema kiti alochokalia Mungu kinamzidi uwezo wake??kwani katiba ya nchi inasemaje kuhusu kumshauri Rais?jibu :siyo lazima afate ushauri wako!!!!
 
Mbingu ni ya Mungu na mamlaka yote ni yake, nchi ni ya wananchi na mamlaka yote inatoka kwao, hivyo basi wanayo haki ya kukosoa, kuhoji, kuwa na mashaka na hata kusifia uwezo wa kiongozi wao kwa maana wao ndio wamempa hayo madaraka ya uongozi.
 
Back
Top Bottom