Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 44,510
- 36,506
hii kero inaharibu sana urafiki na undugu miongoni mwa jamii,Noma kweli kweli
unamsaidia mtu kwa moyo wote,
but kinyume chake wema wako unakua kero kwako mwenyewe kwa manufaa yake. aiseee!

hii kero inaharibu sana urafiki na undugu miongoni mwa jamii,Noma kweli kweli

Joanah umepatia kabisa, yaani ni kujitoa ufahamu' kwa makusudi kabisa! Mtu mzima unashindwaje kujua kuwa kuna makato?Uzi wa maana sana huu,naamini wenye hii tabia wataacha mara moja kwasababu ni makusudi na kujitoa tu ufahamu
Inashangaza mtu kurudisha hela bila kuzingatia makato
Yaan ukampa kadi? 🙄🙄🙄Kadi ya benki? Mbongo huyo unampa kadi hata angekuwa bilionea as long as ni mbongo sithubutu😂😂🤣...watu mna moyo🙌🙌Kama hufanyi biashara ya pesa usikopeshe pesa ovyo. Niliwahi kumkopesha mtu mmoja wa heshima sana, aliniomba pesa kiasi kwa nafasi yake nikampa kadi, alipokwenda benki akachungulia salio akavuta nyingi zaidi, akarudi na slip kuniambia ameongeza zaidi, sikuona shida, shida kuipata hiyo pesa! Acha tu na urafiki wetu uliisha, na heshima yake tulikwazana nikampeleka mbele tukasuluishwa akanilipa. Nimekoma.
Kwa sasa ukimpa mtu mkopo hesabu kama umetoa sadaka tu.Kichwa cha Habari
Nimechukia sana: Hivi nyie mnaokopeshwa hela mna funza kichwani au tabia zenu ni za kishoga?
Wakuu salamu,
Nipo na hasira ya kufa mtu na leo situmii ustaraabu hata kidogo. huu upumbavu, ushamba na uhuni unaofanywa na watu wanaokopa hela za dharura
Mtu ana shida, anajiliza na kuomba mpaka unamhurumia Unajinyima, unaingia kwenye benki unamtumia laki 5 au milioni 1 kwenda kwenye simu yake Hapo tayari wewe umeshakatwa makato ya kutuma
Ujinga wao unaanza hapa
Kuchelewesha hela, Hela inakaaaa wweeeh kwake! Wakati anaomba anapiga simu kila sekunde, akishapata anarudisha anavyojisikia yeye mpaka umpigie magoti.
Kurudisha hela kavu, Anarudisha ile laki 5 au milioni 1 kamili! Hivi kichwani mmejaza funza?
Hamjui kulikuwa na makato wakati inatumwa? Yanini mimi niliyemsaidia niingie hasara ya kulipia makato ya shida zake?
Hawa watu sio bure, tabia zao ni za kishoga kabisa Mtu mzima anayejielewa hawezi kuwa na tabia za kilewela, kilegevu na za kisongombingo kwenye hela ya mtu.
Kulialia wakati wa shida halafu ukipata hela unaleta mambo ya hovyo ni tabia za hovyo sana
Mtu hana adabu ya kifedha, hajiongezi kuweka hata ya kutolea, halafu kesho akikwama anategemea umkopeshe tena.
Wakuu mimi nimechukia sana. Ungekuwa wewe, unaweza kumkopesha mpuuzi wa namna hii tena?
uaminifu haujafa/hauwezi kufa ila upo kwa watu wachache tu !inathibitisha kuwa uaminifu umekufa kabisa duniani.
Moyo wa kipekew Kwanza mtu kafikia kuangalia salio [emoji23]Yaan ukampa kadi? [emoji849][emoji849][emoji849]Kadi ya benki? Mbongo huyo unampa kadi hata angekuwa bilionea as long as ni mbongo sithubutu[emoji23][emoji23][emoji1787]...watu mna moyo[emoji119][emoji119]
Aisee ni mtu wa heshima sana, hapo ndio nilijua kuwa Pesa haina heshima, kila mtu ni kibaka akipata nafasi(ndio lugha iliyotamkwa na msuluhishi), Alinifuata mahali ambapo nilikuwa siwezi kutoka, nikampa kadi.Yaan ukampa kadi? 🙄🙄🙄Kadi ya benki? Mbongo huyo unampa kadi hata angekuwa bilionea as long as ni mbongo sithubutu😂😂🤣...watu mna moyo🙌🙌
Lipa asee madeni yanashusha thamani ya mtu, Sio vizuri kuwa na madeni.Watu hawalipi asee...mi mwenyewe nadaiwa hela ndefu najisikia vibaya asee kutokumlipa huyu mtu😥...na sio kwamba sina hela ninayo ila moyo mziiiitooo🤔
Kabisa, kama mtu anakukopa kiroho safi kabisa, lakini kulipa anaona kama anakusaidia wakati ulimkopesha, Wakati mwingine anakulipa kidogo kidogo wakati ulimpa kwa mara moja.inathibitisha kuwa uaminifu umekufa kabisa duniani.
watu kama nyie mkikopesha isiporudi kwa wakati mnakuaga na hasira kinoma 🤠Watu hawalipi asee...mi mwenyewe nadaiwa hela ndefu najisikia vibaya asee kutokumlipa huyu mtu😥...na sio kwamba sina hela ninayo ila moyo mziiiitooo🤔
hakika! kuna watu wana fikra za ajabu kweli, anakukopa anakwambia nitakupa siku flani, ila kwa sababu umenyaza anaona uyu hana shida nayo anapotezea, na siku nyingine anaweza kuja kukukopa bila aibu kabisa !Kabisa, kama mtu anakukopa kiroho safi kabisa, lakini kulipa anaona kama anakusaidia wakati ulimkopesha, Wakati mwingine anakulipa kidogo kidogo wakati alimpa kwa mara moja.
Ina hitaji moyo Sana , hiyo ndiyo njia ya kupima kama MTU ana shukrani au la .Kichwa cha Habari