♥Soul N' Faith kina Ismail walikuwa na kibao kikali sana Niwe Nawe,Ismail yupo na Mjomba Band mpoto.
♥Rap P kuna video alikuwa anaelezea issue za madawa mme wake alivyokamatwa.
♥Dan Msimamo yupo na Sugu pamoja na mkoloni.
♥Paulin Zongo yupo TOT Band.
♥Pingu katoa wimbo kama miezi mi2 iliyopita Deso yupo Tiptop na vilevile anakata nyanga Ifm.
♥Dogo Hamidu yupo sana labda haufatilii mziki ana single kama 3 zinabamba.
♥mr paul yupo nje ya nchi anafanya mambo nadhani australia.
♥Hasheem dogo yupo nje ya nchi.
♥fatma na kalip no ideas.