Muumini ana band yake ambayo makao makuu na kahama ivyo anatimbuiza katika mikoa ya kanda ya ziwa na wilaya zake kama bukoba,biharamlo,ngara,geita,katoro nk
misanya alipoondoka redio wani na itv sisi wapenzi sugu wa bongo flava enzi zile tulihuzunika na kulalamika sanaa. Ila nilisikia huyu mrangi aliondoka kwa ajili ya fitina dhidi yake pale sambamba na legindary julius nyaisanga. Yani wewe deo rweyemamu
Wa Kwanza Anagangaa Njaa Dar Na Bagamoyo Na Kila J'mosi Hutamkosa Pale Mango Kinondoni Akigongea Bierre.
Wa Pili Tokea Aanze Ku GEGEDWA Na Mheshimiwa ( Jina Nalihifadhi ) Alikuwa Waziri Na Sasa Ni Balozi Nae Ametulia.
Wa Tatu Said Bahanuzi Sasa Anachezea Kwa Mkopo Timu Ya Polisi Ya Morogoro Na Jana Tu Katupia Kamoko.
Wa Nne Sasa Ni Mhadhiri Chuo Kikuu UDSM Na Hivi Karibuni Tu Atapata Doctorate Yake.
13. Iddi ligongo biko
14. Sinta
15.John dilinga jd
16.abubakar sadiq kwa fujo
18.nyamayao
19. Rp mtoto wa remmy kale kasichana kaliimba achana nao bongo fleva alikuwa na bifu kali na zei b.
20. Crazy gk dah huyu jamaa kwenye wimbo wa sister sister