Wako wapi washitaki wako?

Wako wapi washitaki wako?

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
467
Reaction score
690
[Yoh8:2]Hata asubuhi kulipokucha akaingia tena hekaluni, na watu wote wakamwendea; naye akaketi, akawa akiwafundisha.

[Yoh8:3]Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati.
[Yoh8:4]Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.

[Yoh8:5]Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?
[Yoh8:7]Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.

[Yoh8:8]Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.
[Mat7:1]Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.

[Mat7:2]Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa.

[Yoh8:9]Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.

[Yoh8:10]Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?

[Yoh8:11]Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.
 
GyobEXhXIAAlsnA.jpeg

Rejea mashahidi kesi ya TAL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom