Wamekufa huko kwenu marangu,huku Tanga bado wapoWalishakufa wote
duh una bahati sana mkuu sisi wetu kila kitu fakeMbona my wife ndio tabia zake hizo!!akiwa mjzito ndio tatizo,ila siku ukisema hata unasafiri utamuonea huruma,kama safar sio muhimu sana waweza ahirisha,samahan ndio silaha yake kuu,ananipenda sana ofcourse,sijawahi kufikiria kumcheat wife,njooni Tanga nawashauri.
Najitahidindo ulivyo au