Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 4,644
- 7,120
Echolima1 a.k.a mwenye majina 30+ kama utitiri Umejificha wapi au kazi za kusafisha vyoo zimekuzidi kule Tela Aviv.
Umewaona Hezbullah au bado
View: https://youtu.be/_d95LLJvZ7Y?si=KaozdYLUYtd555oI
Afu kuna fununu wametekwa askari wa Israel walijidai eti makamanda kushuka kutoka kwenye Helcopter kutumia Parachutes.
View: https://youtu.be/Ql9bTdpIM98?si=WKroEMOsVZ4mg--V
Huyu waziri alikuwa akitamba ataigeuza Lebanon kama Gaza mtoto wake inasemekana kaumizwa vibaya sana na Hezbullah
Wahutous na Hamasi wapo wapi??😂 Wewe unajifariji🤣🤣! Akuna na atotokea wa Kubambana na Israel. Irani 40 yrs anatumia mabilioni ya Dola- Kaisha yeye. Houtous sasa hivi ata jiwe awajarusha,Hamasi yupo anasingizia Swaumu🤣 ajarusha ata mbegu ya Tende...kuelekea Israel. Wewe Taifa limepigana mpaka na Mungu (tafuta asili ya Jina Israel) Utaliweza wapi??