Wako wapi wale waliokuwa wakidai Zanzibari yao kwa matusi na vidumu vya tindikali?

Sisi hatuna "alokuambia" ktk Kiswahili, huku Tanganyika.

Wee Mkibosho acha kuzidisha vituko hapa jamvini!?...unaposema "sisi",unamaanisha weye na akina nani!?

Weye una uwezo upi wa kukijua Kiswahili!?....ati mpaka leo ufikie kufunda watu humu mitandaoni!?

kwani weye mlevi mchafu,si una lugha ya kabila lako,au!? Na huyo msukule mwenzio wa Kihehe pia si ana lugha ya Kabila lake pia!? Wewe/nyinyi hamuwakilishi mawazo na fikra za Watanganyika walio wengi! Msiwe kama Chadema kwa kujipa false hope!

Weye na wenzio mnaendeleza tu mawazo yenu ya kilevi yalojaa chuki! Watanganyika woote wenye kujitambua hawahitaji kusikiza khabar za uharo wa chuki khasa toka kwa mlevi kama weye!

acha kutafuta cheap sympathy!

ahsanta.
 
Viroba vinafanya kazi yake!
Kila kitu kinakwenda kwa malengo na utaratibu! Lazima utambue lile seke seke la nyuma hapo ni kwa kuenforce kitu gani, na mda huu watu wanasubiri nini!
...
Hatari sana kwa mtu kama wewe kutema pumba za chuki zako hadharani kama hivyo! Great thinkers siku zote wanawaza kujenga na kutatua tatizo!
Mimi hupenda kusema ukweli usoni kwa mtu
 
Lukosi chunga sana wenzio watakutosa kama yule Mansur, huko uliko hutakiwi kuwa na mawazo binafsi au hata ukiwa nayo basi share na mkeo kimya kimya ama sivyo watakwambia sio mwenzetu!!!!
 
b70-6927
 
Sisi hatuna "alokuambia" ktk Kiswahili, huku Tanganyika. Si wa kwanza ktk vijana wa zenj kukana uzenj ili wahalalishe umbea,hila na majungu, na unafiki mwingine...Wenzio pia wakikutana na wazungu au watu wengine mnaohisi watawapatia bure..Huwa majina ya Osama, big mo..takbir..etc.Huwa mnachukua majina ya kikafir.......unajiita mtanganyika..ktk mihadhara mnajiita Majina yenye bahati...majina yenye kuaminika ktk usalama na amani ya wengine.
Bora Zanzibar ijitenge tuanze kuangalia uhiano kati ya Waislam na Wakirsto katika sekta zote za serikali Tanganyika yetu sote, shukrani Jaji Warioba.
 
Viroba vinafanya kazi yake!
Kila kitu kinakwenda kwa malengo na utaratibu! Lazima utambue lile seke seke la nyuma hapo ni kwa kuenforce kitu gani, na mda huu watu wanasubiri nini!
...
Hatari sana kwa mtu kama wewe kutema pumba za chuki zako hadharani kama hivyo! Great thinkers siku zote wanawaza kujenga na kutatua tatizo!

Mkuu! nimekusoma na nimestahi mno comments zako zilojaa busara,hikma na ufahamu/uelewa wa hali ya juu!

natumai yakua Watanzania wangine wenye kujitambua....nao pia watakusoma na kufaidika kwayo!

Ahsanta.
 
Bora Zanzibar ijitenge tuanze kuangalia uhiano kati ya Waislam na Wakirsto katika sekta zote za serikali Tanganyika yetu sote, shukrani Jaji Warioba.

Duuh! Yaleyale...siku zoote mie husema yakua nje ya huu Muungano,basi hiyo Tanganyika itapasuka vipande vipande kwa chuki zilokubuhu za ukabila/ukanda na udini! Daah!

Hivi sasa watu wa mikoa ya kusini ya hiyo Tanganyika,wana raslimali za kutosha...sasa unafikiri watakubali wabaki kuteseka na kuendelea kuwa wanyonge kama enzi ile ya Nyerere!? Haitowezekana hata kiduchu!

Na weye nae Mkuu pia unadai, marekebisho ya hiyo unfair/disproportional sharing of positions against Muslims....in almost all governmental strategic areas,higher learning institutions,mainstream organisations and/or NGO's!? Daah!

Khalaf ati anajitokeza huyo ajiitae Chris Lukosi,na kujipa ukinara wa kua msemaji wa Watanganyika woote!?...tena kwa hoja zilochoka taabani,na huku akisaidiwa na yule mchovu wa fikra mlevi Nicholas! Daah! Teeh! Teeeeh!

Ahsanta.
 
watuondee tu kwani kwani tatizo liko wapi? kama njaa hatujaanza sisi kulala njaa.............. kuna watanganyika wangapi wanalala na njaa na bado wapo. kula njaa is just a challenge BUT WE NEED OUR "ZANZIBAR".
 
Ndugu zanguni,

Nimeshangazwa sana na ukimya wa hawa jamaa zetu ambao kila kukicha walikuwa wakiandamana na vidumu vya tindikali wakidai kujitenga na kuwa hawautaki muungano, mara ooh watanganyika machogo tunawang'ang'ania , mara ooh hawatutaki huko kwenye swamp yao. Lakini cha kushangaza sasa tume ya katiba imewafungulia milango wachomoke hatuwaoni, wameuchuna kimyaa, kama hawapo bungeni vile.

Mimi kwa kifupi nashindwa kabisa kuwaelewa hawa jamaa zetu. Kuna kipindi ulikuwa ukikutana nao hata bara au mitaani stori ni kujitenga tu utafikiri wamefungwa. Sasa na sisi watanganyika tumechoka tumewaonyesha jinsi tulivyochoshwa na huu muungano wa tembo na sisimizi mnyonyaji. Tunawaambia wajitenge badala yake wanaanza kurembua macho.

Wapi yale matusi waliyokuwa wakikesha kututukana humu na mitaani? wapi vidumu vya tindikali? wapi mapovu?

WAZANZIBARI TUMIENI MUDA HUU KUCHUKUA TALAKA YENU, TENA TALAKA TATU MUANZE..

TUMECHOKA!
Flag_of_Tanganyika.png

https://www.facebook.com/photo.php?v=640656519317319&set=vb.100001189291607&type=2&theater

CCM itakufa Zanzibar ikichomoka. Ndio wanaoomba usiku kucha hili lisitokee.
 
We ni mpuuzi mbona kadinali wenu anataka serikali mbili anajua serikali tatu Zanzibar itajiamulia mambo yake yenyewe,kwanza nyie ndio mumetuletea walevi piteni hiviii!

Kwa hiyo mlivyokwenda kujazana London kwa Malkia (wapemba wakimbizi????) mmekwenda kuufuata huo ulevi baada ya kunogewa na huu mlioletewa na Watanganyika siyo?
 
Viroba vinafanya kazi yake! Kila kitu kinakwenda kwa malengo na utaratibu! Lazima utambue lile seke seke la nyuma hapo ni kwa kuenforce kitu gani, na mda huu watu wanasubiri nini! ... Hatari sana kwa mtu kama wewe kutema pumba za chuki zako hadharani kama hivyo! Great thinkers siku zote wanawaza kujenga na kutatua tatizo!
duh..sasa mnazidi..kila mtu mnamwita viroba..hivi UK kuna Viroba....?Mandezi wa CCM bhana
 
Bora Zanzibar ijitenge tuanze kuangalia uhiano kati ya Waislam na Wakirsto katika sekta zote za serikali Tanganyika yetu sote, shukrani Jaji Warioba.
Kuna waislam vimeo wana akili ya kidini..wapo busy kutetea misimamo ya Zenj..wakidhani watakuwa wamoja dhidi ya makafiri..hawajui kuwa Wazenj wenyewe wapemba dini moja nchi moja ila kuna issue ..hawaaminiani na kudharauliana..Unguja wezi na majambazi wote huitwa watanganyika au wapemba
 
Mimi huwa sipendi mambo ya udini kwa sababu hata ukoo wangu tumechangyika dini mbali mbali.

Ukiona mtu anaingiza siasa kwenye dini muambie aende Syria kwanza akafanye tathmini ndio atajua athari zake.
 
Ndugu zanguni,

Nimeshangazwa sana na ukimya wa hawa jamaa zetu ambao kila kukicha walikuwa wakiandamana na vidumu vya tindikali wakidai kujitenga na kuwa hawautaki muungano, mara ooh watanganyika machogo tunawang'ang'ania , mara ooh hawatutaki huko kwenye swamp yao. Lakini cha kushangaza sasa tume ya katiba imewafungulia milango wachomoke hatuwaoni, wameuchuna kimyaa, kama hawapo bungeni vile.

Mimi kwa kifupi nashindwa kabisa kuwaelewa hawa jamaa zetu. Kuna kipindi ulikuwa ukikutana nao hata bara au mitaani stori ni kujitenga tu utafikiri wamefungwa. Sasa na sisi watanganyika tumechoka tumewaonyesha jinsi tulivyochoshwa na huu muungano wa tembo na sisimizi mnyonyaji. Tunawaambia wajitenge badala yake wanaanza kurembua macho.

Wapi yale matusi waliyokuwa wakikesha kututukana humu na mitaani? wapi vidumu vya tindikali? wapi mapovu?

WAZANZIBARI TUMIENI MUDA HUU KUCHUKUA TALAKA YENU, TENA TALAKA TATU MUANZE..

TUMECHOKA!
Flag_of_Tanganyika.png

https://www.facebook.com/photo.php?v=640656519317319&set=vb.100001189291607&type=2&theater

Lukosi umewatukana wa Zanzibar? Unataka wavunje muungano? Kesho naipeleka hii post yako pale ofisini kwetu lumumba.
 
Mkuu sio bungenbi tu, hata mitaani huwasikii wakipiga kelele kwenye vijiwe vya kahawa.

Siku hizi wanaongelea arsenali na chelsii tu. chezea njaa wewe....

The magnitude of the actual separation would be colossal...unimaginable! Ila mtoto akililia wembe mpe tu...
 
Back
Top Bottom