Wako wapi wale waliokuwa wakidai Zanzibari yao kwa matusi na vidumu vya tindikali?

Mi nataka kura ya wazi.. Tutizamane usoni wakati watu wanapingana na maoni ya wananchi wao...
 
Kura ya wazi ni mzuri bro(tuko)lkn kuna hofu kuwa wengi yatawakuta kama ya yalimpata MH,MANSOU Y HIMID.
 
Kweli ndugu Lukosi! Kuna huyu ndugu mzanzibari huwa anapenda kutumia maneno ya "WATANGAYIKA MUTUACHE TUPUMUWE" kwenye threads zake nashangaa sijamsikia siku za hivi karibuni.
Huwezi kumsikia tena huyo mkuu.

Walikuwa wanapiga kelele wakidhani wana mafuta, baada ya wazungu kufanya utafiti na kugundua kuwa mafuta waliyonayo hayatoshi hata kuwashia kibatari ndio maana unawaona wamekula kona na wengine waliobaki humu wanarembua macho tu...
 
Mi nataka kura ya wazi.. Tutizamane usoni wakati watu wanapingana na maoni ya wananchi wao...
Kura ya wazi sio nzuri kwa sababu wako wengi hawataki huu muungano lakini wanaogopa kusema hadharani
 
Kura ya wazi sio nzuri kwa sababu wako wengi hawataki huu muungano lakini wanaogopa kusema hadharani

mkuu umesahau kuwa hata ya siri inaweza kuhujumiwa, tena hiyo ndiyo rahisi sana maana wanaohesabu hizo kura labda wawe malaika....all in all hii issue ni sensitive sana hasa kwa jamii kama yetu ambayo huwezi kumwamini mtu kirahisirahisi.
 
Ni kweli unavyo sema Kamba Zanzibar Kama mmbu aliyekuwa Ndani ya neti lakini ni muhimu kumquat kwamba ukisha muhuwa tu inategemea kwa Hamna gain unaweza kuchafua neti itawatokea Damu yote utapata kazi kufua tena neti kwa hiyo inatubidi sisi watanganyika kuwa makinina Hawaii mmbu
 
Kura ya wazi sio nzuri kwa sababu wako wengi hawataki huu muungano lakini wanaogopa kusema hadharani

Wananchi wa Tanzania wanawatazama. Tutajua ni nani anaona chama kwanza nchi baadae au nchi kwanza chama baadae. Wewe Chris najua msimamo ulio nao ni kinyume na chama chako. But kwa uzalendo wa taifa lako umeamua kuchagua maslahi ya nchi kwanza.
Hawa wabunge tulio nao wamebahatika kuwa sehemu ya wajenzi wa historia ya taifa letu. Tunataka historia iandikwe kwa majina ya walioijenga na walioihujumu. Ili hata vizazi vyao vya nne tokea sasa vikasome na kujua mchango wa baba au babu yake, mama au bibi yake ulikuwa wa kujenga au kuhujumu taifa letu...
 
Huwezi kumsikia tena huyo mkuu.

Walikuwa wanapiga kelele wakidhani wana mafuta, baada ya wazungu kufanya utafiti na kugundua kuwa mafuta waliyonayo hayatoshi hata kuwashia kibatari ndio maana unawaona wamekula kona na wengine waliobaki humu wanarembua macho tu...

hahaaa eti wanarembua macho itakuwa madhara ya urojo
cc Bobwe2 kikwajuni 1 mzenjiboy
 
Last edited by a moderator:
Huo ndio UNAFIKI sasa unaogopa nini sasa.

Je umemsikia Jaji Warioba.

Znz huru Ileeeeeeeeeee enye mamlaka kamili.

ndio maana tunasema huwezi zuia dhorba kwa kupanga mabua.

Pole sana mtoa mada.

Mkuu lazima ujue kuwa sio kila binadamu ana confidence ya kusimama na kutoa ya moyoni kama wengine.

Wewe mwenyewe hapo huna confidence ndio maana hutumii jina lako la ukweli na picha umeweka ya mtu ambaye hata hakujui.

Kura ya siri itawasaidia wale ambao wanaogopa kutengwa kutoa mchango wao, hata mahakamani mashahidi huchagua kutoonekana ili wasiweze kuwa na woga
 
Wananchi wa Tanzania wanawatazama. Tutajua ni nani anaona chama kwanza nchi baadae au nchi kwanza chama baadae. Wewe Chris najua msimamo ulio nao ni kinyume na chama chako. But kwa uzalendo wa taifa lako umeamua kuchagua maslahi ya nchi kwanza.
Hawa wabunge tulio nao wamebahatika kuwa sehemu ya wajenzi wa historia ya taifa letu. Tunataka historia iandikwe kwa majina ya walioijenga na walioihujumu. Ili hata vizazi vyao vya nne tokea sasa vikasome na kujua mchango wa baba au babu yake, mama au bibi yake ulikuwa wa kujenga au kuhujumu taifa letu...

Mkuu uking'ang'ania kura ya wazi itakula kwetu sisi tunaotaka mabadiliko.

Utapata faida gani kuwajua wakati tayari watakuwa wameriboronga? Je wakiamua leo yale ambayo taifa zima haliyataki kwa sababu ya uoga wao utafanya nini kuyarekebisha? unadhania kutakuwa na nafasi nyingine ya katiba?
 
I assure you Chris. .. hii nchi haitatulia hata matakwa ya wananchi yatakapotimia. Wachakachue wawezavyo... lakini ni kama kushikilia puto ndani ya maji. Itafika siku utaliachia tu litapanda juu na kuelea.
Haya yalipendekezwa na Nyalali, na Kissanga na Shelukindo... yalifukiwa wakiamini yatatulia. Lakini leo yanarudi tena. Kwa hiyo mimi wala sina wasiwasi.... haki hucheleweshwa tu...
 
Ndugu zanguni,

Nimeshangazwa sana na ukimya wa hawa jamaa zetu ambao kila kukicha walikuwa wakiandamana na vidumu vya tindikali wakidai kujitenga na kuwa hawautaki muungano, mara ooh watanganyika machogo tunawang'ang'ania , mara ooh hawatutaki huko kwenye swamp yao. Lakini cha kushangaza sasa tume ya katiba imewafungulia milango wachomoke hatuwaoni, wameuchuna kimyaa, kama hawapo bungeni vile.

Mimi kwa kifupi nashindwa kabisa kuwaelewa hawa jamaa zetu. Kuna kipindi ulikuwa ukikutana nao hata bara au mitaani stori ni kujitenga tu utafikiri wamefungwa. Sasa na sisi watanganyika tumechoka tumewaonyesha jinsi tulivyochoshwa na huu muungano wa tembo na sisimizi mnyonyaji. Tunawaambia wajitenge badala yake wanaanza kurembua macho.

Wapi yale matusi waliyokuwa wakikesha kututukana humu na mitaani? wapi vidumu vya tindikali? wapi mapovu?

WAZANZIBARI TUMIENI MUDA HUU KUCHUKUA TALAKA YENU, TENA TALAKA TATU MUANZE..

TUMECHOKA!
Flag_of_Tanganyika.png

https://www.facebook.com/photo.php?v=640656519317319&set=vb.100001189291607&type=2&theater

Umeuliza swali la msingi. Ingawa huwa sizipendi post zako lakini na kwa hili ninaungana na wewe kwamba umeuona ukweli.

Ingawa hata jamaa hao wa UAMSHO siwapendi wala kuwashabikia, ukweli ambao huujui ni kwamba wale jamaa wengi wao wamo ndani mahabusu ni kama vile wanaozea kule na ndiyo maana huwasikii hadi ukaleta swlai hili.
 
Wako nje
 
Mlikuwa mmelala fofo,kama c wala urojo sidhani kama mngekuwa mnaitamani tanganyika yenu,mchakato wa katiba ya tanganyika mtauanza lini wala nguruwe?
Kweli ninyi wake zetu metufungua macho waume zenu baada ya gubu lenu, sasa tunataka talaka tatu muuone moto wa kujitegemea na umasikini wenu.
wapi TANESCO? Tunaanzia hapo, mke lazima ukome!
 
Mlikuwa mmelala fofo,kama c wala urojo sidhani kama mngekuwa mnaitamani tanganyika yenu,mchakato wa katiba ya tanganyika mtauanza lini wala nguruwe?

hahaaa.. elimu yenyewe hamna sasa mtajiongozaje.. wazenj bana!!!
 
Mimi huwa sipendi mambo ya udini kwa sababu hata ukoo wangu tumechangyika dini mbali mbali. Ukiona mtu anaingiza siasa kwenye dini muambie aende Syria kwanza akafanye tathmini ndio atajua athari zake.
wala sidhani km kuna udini hapa..ninachofanya hapa ni utaifa kwanza..muislam alieye bara aone mbara mwenzie ni wa karibu zaidi..iwapo kinachofanyika si kinyume na haki za binadamu...
 
Back
Top Bottom