Wako wapi wale ma commando waliokuwa wanapasua matofali ya tope pale taifa

Wako wapi wale ma commando waliokuwa wanapasua matofali ya tope pale taifa

, unavyoandika km mtu kweli kumbe unafurahisha genge, politics politics bt ipo siku utawaona msaada wao time will tell mkuu, hao wanajeshi uliwaona mkuu?
Wakati huu ndio wanahitajika mkuu sio kukimbilia kupiga virungu na mabomu rais wanaoandama bila silaha yoyote. Sasa wasipotumiaka sasa watatumika wakati gani? Si watazeeka na kustaafu bila kufanya bila kutumia ujuzi wao?
 
Mkuu blv me ile ni michezo ya watu fulani, bt soldiers waliingizwa mkenge bila kujua bt walivyogundua ni upuuzi wakaachana na huo mchezo.
 
mtukane vyema mbona umemuogopa.utakamataje magaidi halafu asubuhi wawe majambazi kisha jioni wageuge wahuni.sasa kati yako naye nani mpumbavu.mtendee haki.

Yeye ndio mpumbaf
 
Back
Top Bottom