Wapinzan maku ** kishenzi +kila kitu wao wapingaji?
wewe mhehe kuwa na heshima. Tumia hoja kupinga au kujibu hoja. Matusi siyo mahali pake hapa. Wewe huoni nini juu ya kupeleka vikosi vya ulinzi na usalama pamoja na mabosi wa juu wa vyombo hivyo pasikohusika? Upofu wako wa ukubwani utakuharibia familia na future yako. Ccm iache sanaa za kipu.mba.vu zisizoweza kumdanganya mtazamaji. Au nawe ni mmoja wa walevi wa ccm? Basi mmeishiwa na mmebaki kuvuja vijisenti vichache vilivyosalia kwenye akiba ya nchi kuvila kwa kujitengenezea vitukio vya kijinga. Hizo posho mtazirudisha ipo siku.
Wapi waziri wa mambo ya ndani hapa atudadavulie uhuni huu kabla kina Lissu hawajamtaka ajiuzulu?