Wako wapi wale ma commando waliokuwa wanapasua matofali ya tope pale taifa

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Nao wameenda kuongeza nguvu kule mapango ya amboni au......
 
Mbona walikwisha sema hii operesheni ya jeshi la polisi..Tuache mizaha kwa watu wanaojitolea maisha yao kwa ajili yetu. Labda kama uko upande wa majahili
 
Wale wakafanye nini kule. Wakati hakuna kazi zaidi ya kuigiza movie
 
Mbona walikwisha sema hii operesheni ya jeshi la polisi..Tuache mizaha kwa watu wanaojitolea maisha yao kwa ajili yetu. Labda kama uko upande wa majahili

Cjafanya mzaha mkuu mi nimeuliza tu maana nilickia kwa jeshi la police ile ni level ya juu sana kwao
 
Teh teh teh.

Hii ni field kamili sio maonyesho ya uhuru.haina watazamaji wakushangilia.
 
Ningekuwa ya mamlaka ya mkuu wa majeshi au IGP ningewafukuza kazi kikosi chote cha intelligensia na kukiunda upya ikiwa ni pamoja na kuvunjilia mbali kamandi ya operesheni ya polisi kwa kushindwa kazi ya kutambua na kuzuia kabla ya madhara.
Pia ningekuwa mwenyekiti na rais wa cc ningekifuta kazi kikundi cha propoganda na lobbiests kwa kuandaa kizembe movie hili lisilovutia adhira kwani hadi sasa hakuna anayelisimulia lipicha wala waliocheza. Huku ni kushindwa kwa wazi kwa ccm kila idara. Wakubali matokeo waachie ngazi bila kelele.
 
Ulinzi ni Elimu na inatolowa kuanzia cheti mpaka phd hivyo kama wewe hajaheshimu taaluma za wenzako bila shaka hata yako huijui.jinsi ninavyoziona fikra zako yaani mtoto wa chekechea akikosea kuhesabu moja mpaka kumi basi utasema kuanzia leo maprofesa wakafundishe chekechea.Lakini sikushangai sana maana upumbavu ni kipaji na mwenzetu umejaliwa kipaji kikubwa hasa.
 
Jesh la Polisi wanasema wale ni WAHUNI tu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

hawa polisi sasa ah! Majibu mengi swali moja. Waliwaita magaidi tena wa al-shababu leo wana jibu jipya kabisa "wahuni wale". Wahuni wa kiwango cha juu tena wanawazidi wale wa Hollwood kwa kuwavutia mkuu wa jeshi na mkuu wa polisi kwenda kuwaona tena kwa gharama za wananchi. Hebu watuambie ni nani aliwaambia kuna magaidi Tanga? Na hilo la uhuni limekaaje?
 
Ningekuwa ya mamlaka ya mkuu wa majeshi au IGP ningewafukuza kazi kikosi chote cha intelligensia na kukiunda upya ikiwa ni pamoja na kuvunjilia mbali kamandi ya operesheni ya polisi kwa kushindwa kazi ya kutambua na kuzuia kabla ya madhara.
Pia ningekuwa mwenyekiti na rais wa cc ningekifuta kazi kikundi cha propoganda na lobbiests kwa kuandaa kizembe movie hili lisilovutia adhira kwani hadi sasa hakuna anayelisimulia lipicha wala waliocheza. Huku ni kushindwa kwa wazi kwa ccm kila idara. Wakubali matokeo waachie ngazi bila kelele.

nakuunga mkono mkuu.
 
Ulinzi ni Elimu na inatolowa kuanzia cheti mpaka phd hivyo kama wewe hajaheshimu taaluma za wenzako bila shaka hata yako huijui.jinsi ninavyoziona fikra zako yaani mtoto wa chekechea akikosea kuhesabu moja mpaka kumi basi utasema kuanzia leo maprofesa wakafundishe chekechea.Lakini sikushangai sana maana upumbavu ni kipaji na mwenzetu umejaliwa kipaji kikubwa hasa.

Mwenyewe bana
 
Back
Top Bottom