Mzee# inawezekana nafsi inamsuta Mnyika baada ya kuona msimamo wa chama dhidi ya Lowassa umebadilika wakati yeye alikuwa mmoja wa Wahubiri wa Siasa za ufisadi wa Lowassa. Anaona aibu, bora anyamaze.
Viongozi na Wabunge wengi nguli wa CHADEMA ninaointeract nao wanakiri "nje ya kiapo" kuwa Katibu Mkuu mpya ni mzigo mzito. Hii project ya Mbowe inaweza kuishusha CHADEMA.
Ukitaka kujua chadema wameshikwa akili na Mbowe angalia utaratibu uliotumika kumpata Katibu Mkuu wa Chama jamaa kaja na jamaa yake mfukoni n hataree sana