Wako wapi Kafulila na Katambi?

Wako wapi Kafulila na Katambi?

kijanamdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
231
Reaction score
177
MAKADA wapya Wa ccm Kafulila na Katambi wamekuwa kimya sana hata kwenye KAMPENI za UBUNGE KINONDONI hawakujitokeza kumnadi Mgombea wao .Nilitegemea wangemwaga SERA za hali ya juu mpaka Chadema wasipate hata KURA 10.
 
Magufuli awape hata Ubalozi tu hata kama nchi za kiwapeleka hamna awape ili kuwafuta jasho.
 
Daaah Tumbili maskini kafulila kisiasa ndo kwisha habari yake je Magufuri akimaliza mda wake walioamia kuunga juhudi zake wataludi kwenye vyama vyao vya zamani
 
Wako ofisi za Lumumba wamepanga foleni kusubiria kupewa ukuu wa wilaya na ubalozi.
 
CHADEMA walisema Fsadi Lowassa anahama na watu 500, masikini kaishia kuhama na Mngeja ,Mzee Kingunge ,ziro SUMAYE basiiiiiii
 
Lengo la kuwapoteza lilitimia kwa sasa hawana nafasi tena,namaanisha kwa sasa ni taka
 
MAKADA wapya Wa ccm Kafulila na Katambi wamekuwa kimya sana hata kwenye KAMPENI za UBUNGE KINONDONI hawakujitokeza kumnadi Mgombea wao .Nilitegemea wangemwaga SERA za hali ya juu mpaka Chadema wasipate hata KURA 10.
Wameshatumika kama toileti pepa kwisha habari yao.
 
Back
Top Bottom