Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
1. Nape Moses Nnauye
2. Le' Baharia William Malecela
3. Ng'wigulu Nchemba
4. Juliana Shonza
5. Mtella Mwampamba
Kimya chenu kina maana gani? Kwamba mnajipanga au ndo tayari mshakubali yaishe?
Anyway, tunawasubiri hapa JF na mtaani. Ila tunategemea mkija, mje na sera, siyo porojo tulizizoea kwa miaka 50 iliyopita.