Nigga What
Senior Member
- May 1, 2021
- 164
- 448
Walikimbilia Uganda enzi ya Jiwe! Sasa wamesikia mshikaji wao VascoDagama ameshika hatamu na Amos Makalla ndio mkuu wa mkoa wa DSM wameanza kurudi mmoja mmoja. Wapo mjini wanabarizi!
Wanasoma upepo
Kong'ombe chacha sukale muhiri obareMuhiri Obare mtuma Salam maarufu toka Igoma Mwanza Tanzania
Walipotea baada ya mirija yao kufungwa.Wako wapi Ndama mutoto ya ng'ombe, Abdul tall, Chief Kiumbe the big boss, Jacky Pemba, Texas Istadh Juma na Musoma, Brother K na Tunduma, Papaa Mutarika walitamba sana hapo nyuma walikuwa wakimwaga noti kwenye show za dansi kama mchanga.
Bila mapapaa mziki wa dansi haunogi
Tajili Wille wa MahewaWako wapi Ndama mutoto ya ng'ombe, Abdul tall, Chief Kiumbe the big boss, Jacky Pemba, Texas Istadh Juma na Musoma, Brother K na Tunduma, Papaa Mutarika walitamba sana hapo nyuma walikuwa wakimwaga noti kwenye show za dansi kama mchanga.
Bila mapapaa mziki wa dansi haunogi
Papaa MusofeWako wapi Ndama mutoto ya ng'ombe, Abdul tall, Chief Kiumbe the big boss, Jacky Pemba, Texas Istadh Juma na Musoma, Brother K na Tunduma, Papaa Mutarika walitamba sana hapo nyuma walikuwa wakimwaga noti kwenye show za dansi kama mchanga.
Bila mapapaa mziki wa dansi haunogi
Eeeeeeeeh nipo hapa Igoma ndama Bw. Zubeir Msabaha natuma salam kwa waendesha daladala wote wa ruti ya Igoma kwenda Mwaloni Kirumba, pili natuma salamu kwa mke wangu Robi chacha wangwe bila ya kumsahau Rpc Mwanza Bw. Sirro, ujumbeeeeeeeeeeeeeeeeee.Kong'ombe chacha sukale muhiri obare
Muhiri obare "naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAam"