Wako wapi hawa watu?

Benjamini Netanyahu

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
92,174
111,714
Kuna watu wakati najiunga JF walikuwa hawakosekani jukwaani lakini sasa hivi hawaonekeni:-
1. Supermarket
2. Technical
3. Shibe kijijini
Nimewakumbuka sana

Nawasilisha
 
Kuna watu wakati najiunga JF walikuwa hawakosekani jukwaani lakini sasa hivi hawaonekeni:-
1. Supermarket
2. Technical
3. Shibe kijijini
Nimewakumbuka sana

Nawasilisha
Big Mama a.k.a mama kubwa nae amepotea kwa miaka kadhaa sasa
 
Back
Top Bottom