Ndo kusema kwamba wanamuogopa myahudi au shida nini ,nilitegemea jinsi Iran anavompapasa myahudi kwa kipindi hichi hawa Hama's,Hezbollah na houthi wangekua nawao ni muda wao wakulipa kisasi lakini chakushangaza wamepoa kama vile hawapo shenzi kabisa iran shikilia hapo hapo
Juzi, nikapata shule kidogo, Middle East, uarabuni, ukanda wa uarab, ni eneo lenye 50% ya rasilimali ya, mafuta, na gesi ya dunia,
Mzungu hawezi, kuluhusu, hiyo rasilimali iwe mikononi mwa, waarab peke Yao, lazima chokochoko zianzishwe, wals G7, wote wanakubaliana na hii,
Huu unnyonge sijuhi utaishia lini, maana, hata umoja wa, BRICS, (Brazil, Russia, china, Iran, China, South Africa) umekaa, kimya tu!
G7 mkristo, NATO, mkristo! Waarab, wanakimbilia mapangoni kama mbwa koko