The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,697
Wewe na yeyote. Hujui!Unamuuliza nani
Waache uzwazwa. Waende wakawaulize akina January na Mapepe Nnauye.Wanaogopa kumkwaza mama yao ili wakumbukwe tena badaye
Alipobwagwa nilifurahi. Maana, kwenye ndoto zake alilfikiria angeteuliwa waziri mkuu. Hakuna Magu wa kupigia magoti na kuteuliwa. Chawa watupuBashungwa ni kujipost tu kila siku mara anachunga ng'ombe,Mara anakula ugali..ni kama kachanganyikiwa vile
Kwa bahati miradi yao binafsi huwa inapata mafanikio wakiwa serekalini ambapo hupata nafasi za kuiba ili kuipa backup miradi yao. Wakiwa nje ya madaraka miradi yao binafsi huenda kwa mwendo wa kinyonga ama hata kufa.Hakuna mtu aliwahi kushika nafasi ya uwaziri halafu akawa na njaa,sahau hilo .
Huu ni muda na nafasi nzuri kwao kutekeleza miradi yao binafsi
Kuna ule msemo usemao "Ukumwagwa mwagika". Nadhani wameutafsili vizuri zana.View attachment 3527617
Tangu wamwagwe, sijawasikia hao machawa hapo juu. Anayejua wako wapi na wanafanya nini atujuze. Kama wako humu wajue, tunafurahia walivyofanyiwa kitu mbaya baada ya kutumika na kutupwa kama ganda la mua. Uchawa na ufunza havilipi.
shubutuuuMajimboni hadi Bunge litakapoitwa January au February
Mwenye hekima akivuliwa nguo huchutamaWanaogopa kumkwaza mama yao ili wakumbukwe tena badaye