Hata sijui Mentor.
naomba niwekee na za wa kiume........
No Kipipi nawewe ichukulie kama changamoto..jichunguze, chukua hatua!
Inaweza kuwa ndio sababu upo naye miaka sita sasa hujaolewa...
Inaeza kuwa ndo sababu alikuacha akamfuata Mwana Asha...
Tafakari, chukua hatua...
Kongosho,kingeledha ndo pulobulemu
Sawa mshauri . . . . japokuwa simsubiri yeye anichague kwa vigezo vyake tu!
Ina takiwa na yeye ajione kama ananistahiri sio yeye atake mimi tu ndo nimstahiri!
Therefore, naweza kuwa nae kwa miaka sita achoke mwenyewe,
Naweza kumfanyia makusudi ili ahamie kwa MwanaAsha.