Wakiwezeshwa Wanaweza!

Baadhi ya maRijali husubiri free services......! Wanawake wengi hubeba majukumu mazito!
 
hatutaki kuwezeshwa
TUNAJIWEZESHA WENYEWE
kwanini tulie nyuma yenu
 
Mkuu una macho makaliii!!! ila nadhani atabadilisha mkono
Akijaribu tu kubadilisha mkono, majanga yake itakuwa balaa!
Kama ni mzoefu kihivyo labda atumie mguu kuweka kwenye taili la nyuma au mbele...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…