Mi bishoo tu Senior Member Joined Jun 3, 2023 Posts 122 Reaction score 295 Sep 12, 2023 #1 Endeleeni kufake maisha baadae ooooh "watanzania hawana utu,wameshindwa kumchangia msanii mwenzetu pesa za matibabu mpaka kapoteza maisha".
Endeleeni kufake maisha baadae ooooh "watanzania hawana utu,wameshindwa kumchangia msanii mwenzetu pesa za matibabu mpaka kapoteza maisha".
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 34,581 Reaction score 100,766 Sep 12, 2023 #2 36,000,000 Tsh ÷ 12 Months = 3,000,000 Tsh/Month.
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,815 Reaction score 61,705 Sep 12, 2023 #3 safi sana wakidanja tu mie ni kuporomosha mitusi wakiwa maiti pumbav sana hawa watu
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,951 Reaction score 37,289 Sep 12, 2023 #4 Hata akiwa na mjengo wake akiumwa pesa zikiisha mchango utapita tuu
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 41,764 Reaction score 72,650 Sep 12, 2023 #5 Mi bishoo tu said: Endeleeni kufake maisha baadae ooooh "watanzania hawana utu,wameshindwa kumchangia msanii mwenzetu pesa za matibabu mpaka kapoteza maisha" Click to expand... Maisha yao kila mtu ana demu mkali na kila mwanamke ana Sponsor mwenye hela au Handsome. Lakini sasa tazama hii 1. Mume wa Zamaradi 2. Mume wa Shilole- Uchebe 😆😆
Mi bishoo tu said: Endeleeni kufake maisha baadae ooooh "watanzania hawana utu,wameshindwa kumchangia msanii mwenzetu pesa za matibabu mpaka kapoteza maisha" Click to expand... Maisha yao kila mtu ana demu mkali na kila mwanamke ana Sponsor mwenye hela au Handsome. Lakini sasa tazama hii 1. Mume wa Zamaradi 2. Mume wa Shilole- Uchebe 😆😆
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,420 Reaction score 38,059 Sep 12, 2023 #6 Hapo kafake nini sasa? Unadhani anashindwa kulipa milion 3 kwa mwezi? Alafu hakuna mtu anakuja kukushikia panga utoe mchango,hayo ni maisha yake makasiriko ya nini?
Hapo kafake nini sasa? Unadhani anashindwa kulipa milion 3 kwa mwezi? Alafu hakuna mtu anakuja kukushikia panga utoe mchango,hayo ni maisha yake makasiriko ya nini?
amadala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 4,276 Reaction score 12,387 Sep 12, 2023 #7 Chino wakati wake huu asipojipanga baaasi
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 8,824 Reaction score 19,959 Sep 12, 2023 #8 Huyo msanii nae? Ana ngoma gani?
B BobUpanga JF-Expert Member Joined May 24, 2020 Posts 332 Reaction score 537 Sep 12, 2023 #9 Milioni tatu kwa mwezi ni kama USD 1,200. Kwa kodi ya mwezi na kwa nyumba nzuri it is very possible.