Wakiristo mnategemea nini?

Wakiristo mnategemea nini?

“Na anayataka dini isiyokuwa Uislamu, basi hatokubaliwa, naye katika Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.”
(Qur'an 3:85)
Mnategemea nini? Mnauweza moto kweli?
Dini ni imani za waarabu na wazungu, wachina hawana dini kama hizo, korea hawana na jamii nyingi sana hazina hizo dini za kukaririshwa, so usiwe MJINGA
 
Ni mtu mpuuzi na punguani tu anayeweza kuamini kwamba wakristo wooote au waislamu wooote wataenda motoni au akhera kwasababu ya dini hiyo.
Tenda mema, fanya jambo ambalo ukifanya unajisikia nafsi yako ina amani na furaha.
Uwe na Upendo kwa wooote. Hayo ndio mambo ya kukufikisha akhera sio kujua saana misahafu na biblia.
Watu wengi wenye kuzishika sana dini amin amin nakuambia wataingia motoni mapema sana kuliko makahaba na walevi maana wana unafiki mwingi na kujihesabia haki kwingi lakini ni wenye husda, wivu, uovu mbali mbali.
Na hilo ndio neno la bwana.
 
“Na anayataka dini isiyokuwa Uislamu, basi hatokubaliwa, naye katika Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.”
(Qur'an 3:85)
Mnategemea nini? Mnauweza moto kweli?
992f0217-aae3-4c6a-b2d9-1c86736fcfb6.jpeg
 
Takbir! Achana nao shekh, sisi tukafaidi bikira nyingi za Allah.
 
“Na anayataka dini isiyokuwa Uislamu, basi hatokubaliwa, naye katika Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.”
(Qur'an 3:85)
Mnategemea nini? Mnauweza moto kweli?
Umekuwa brainwashed vibaya sana.Huyo Mungu wako allah tapeli pamoja na mtume wake mudy wanaobagua watu kwa misingi ya dini watakuwa wapuuzi kuliko kitu chochote duniani.
Kwamba mbele zao Mayahudi,wabudha,wahindu na wengineo hawana maana?
Mtume unayemuamini mwenyewe hakuwa muislam.
Nani alimsilimisha?
 
Nakuonea huruma sana na fikra hizo. Allah akuongoe
 
“Na anayataka dini isiyokuwa Uislamu, basi hatokubaliwa, naye katika Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.”
(Qur'an 3:85)
Mnategemea nini? Mnauweza moto kweli?
huko akhera ulishawahi kufika
 
Uislamu huu dini ya juzi iliyoanzishwa na wakatoliki wa roma chini ya padre Waraq bin naufal ?
 
Moja ya maamuzi Bora nimewahi kufanya katika maisha yangu ni kuukana uislamu na kumkubali Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa MAISHA yangu

Kwasasa hata niwekewe panga shingoni siwezi kuwa muislamu,nitaufia ukristo
 
“Na anayataka dini isiyokuwa Uislamu, basi hatokubaliwa, naye katika Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.”
(Qur'an 3:85)
Mnategemea nini? Mnauweza moto kweli?
Mbona tukiwauliza kuhusu muddy kupenda mademu na kuhusu majini mnakwepa.
IMG_1819.jpeg
 
“Na anayataka dini isiyokuwa Uislamu, basi hatokubaliwa, naye katika Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.”
(Qur'an 3:85)
Mnategemea nini? Mnauweza moto kweli?
Muwe mnaelewa nyie watu!

Wakristo hawamwabudu mungu Ili waende akhera Bali mbinguni yaani wapae kama yesu alivypaa mbele ya macho ya waamini wa mwanzo soma matendo ya mitume sura ya kwanza na ya pili!!

Waislam Wana swali Ili kuepuka moto huko akhera yaani waislam wote fate yao ni akhera na sio mbingu !!!!

Akhera ni kuzimu mkuu yaani chibi ya ardhi kwenye ardhi ya kwanza Hadi ya tisa!!huko ndipo makazi tarajali ya waislam white wa swala tano!!

Umenielewa mkuu!!?

Destiny tofauti!

Huko akhera ndio Kuna dhaniwa Pepo ndipo ilipo na wale mabikra 72 Kwa waaminifu watakatifu kwa waislam!!

Umenielewa we jamaa!!

Ndio maana nawashangaa wanaobishana na uislam na ukristo wakati ni vitu viwili tofauti kabisa!!

Nenda kaulize AKHERA NI WAPI!!?UTAAMBIWA NI KUZIMU!!

MBINGU AMBAYO WAKKRISTO WA KWELI WANAYOIPIGANIA NI ILE MBINGU YA SABA YAANI YA KWANZA HADI YA SABA!!!

Chukua hiyo mkuu!!
 
Moja ya maamuzi Bora nimewahi kufanya katika maisha yangu ni kuukana uislamu na kumkubali Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa MAISHA yangu

Kwasasa hata niwekewe panga shingoni siwezi kuwa muislamu,nitaufia ukristo
Maisha ya Waislam Akhera (Wale waliomuamini na kumtii Mwenyezi Mungu)

📌 Imani na Matendo Mema:

Waislam wanaoishi kwa kumcha Mungu, kuswali, kufunga, kutoa zaka, kuhiji, na kufanya mema, wanatarajiwa kupata malipo mema siku ya Kiyama.

📌 Pepo (Jannah):

Ahadi ya Mwenyezi Mungu kwa Waumini ni Pepo yenye neema zisizo na kifani:

“Hakika wenye kuogopa watakuwa katika mabustani na mito.”
(Qur’an 54:54)

Pepo ina vyakula, vinywaji, mavazi mazuri, wake wa peponi, raha ya milele, na kuridhika kwa Mwenyezi Mungu.

📌 Neema ya kumuona Mwenyezi Mungu:

Neema kubwa zaidi kwa watu wa Pepo ni kumuona Allah (Subhaanahu wa Ta‘ala), jambo ambalo litawatia furaha isiyo na kifani.

📌 Usalama na Raha ya Milele:

Hakuna huzuni, magonjwa, kifo, au uchovu. Ni raha isiyokoma.

---

2. Maisha ya Makafiri Akhera (Wale waliomkataa Mwenyezi Mungu)

📌 Ukafiri na Maasi:

Makafiri ni wale waliokataa kumuamini Mwenyezi Mungu na Mitume Wake, na waliishi maisha ya uasi na dhambi bila kutubia.

📌 Moto wa Jahannam:

Makafiri wanaahidiwa adhabu kali ya moto wa Jahannam:

“Hakika wale waliokufuru miongoni mwa watu wa Kitabu na washirikina watakuwa Motoni Jahannam humo watakaa milele...”
(Qur’an 98:6)

📌 Adhabu ya Kimwili na Kiroho:

Watateswa kwa moto, kuliwa na minyoo, kunyweshwa maji ya moto yaliyochemka, na kuteseka kiakili kwa majuto.

📌 Majuto na Kutamani Kurudi Dunia:

Watatamani warudishwe duniani ili waamini, lakini haitakubaliwa.

“Mola wetu! Tupe nafasi turudi (duniani) ili tutende mema...”
(Qur’an 23:99-100)
 
“Na anayataka dini isiyokuwa Uislamu, basi hatokubaliwa, naye katika Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.”
(Qur'an 3:85)
Mnategemea nini? Mnauweza moto kweli?
ooh kwani watakaochomwa ni wasiokuwa waislam? au watenda maasi kwa mujibu Quran yako
 
Back
Top Bottom