Nje ya uislam. Huna kituSisi tuna dini yetu pendwa na tunayoiamini, hiyo yako unaijua wewe, hatuna haja ya kujua upuuzi huo
Takbir Ulamaa“Na anayataka dini isiyokuwa Uislamu, basi hatokubaliwa, naye katika Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.”
(Qur'an 3:85)
Mnategemea nini? Mnauweza moto kweli?
NakaziaNOMA SANA....
Sawa Sawa HaupoMoto haupo.
Mash AllahNje ya uislam. Huna kitu
Nje ya YESU KRISTO hakuna uzimaNje ya uislam. Huna kitu
Haa Ila Wewe Unatutafuta Sana Hapa Kwa Mtolo Ama Kariakoo Masjid ManyemaKuuliza sio ujinga:Kati ya Quran na uislam kipi kilianza?
Nimeuliza tu maana kuna kitu nataka kujua kutoka kwenye aya iliyoletwa hapaHaa Ila Wewe Unatutafuta Sana Hapa Kwa Mtolo Ama Kariakoo Masjid Manyema
Ukristo ni uzungu, Mila, tamadunni na ibada na majina ya kizunguNje ya YESU KRISTO hakuna uzima
Uislam ni nini? Uislam ni tamaduni za waarabu zenye mlengo wa mavazi na majina na ibada za jua na mwezi
YESU KRISTO ni Nan? Ni mwana wa MUNGU wa aliye hai NIKO AMBAYE NIKO, NJIA YA KWELI NA UZIMA , aliye tumwa na babaye kwa ajili ya kuukomboa ulimwengu, watu wake na dhambi zao
Kazi ipo kwako msomaji je umfate YESU KRISTO mwana wa MUNGU aliye hai au ufuate tamaduni za waarabu.
MkuuNimeuliza tu maana kuna kitu nataka kujua kutoka kwenye aya iliyoletwa hapa
Binafsi sio mfia dini ila kila nikiona hili neno KOBAZI huwa najikuta nacheka sana 😀Huo upuuzi wako wa dini yako unakuhusu wewe kobazi mbobevu