Wakiniomba Pesa nakimbia

Wakiniomba Pesa nakimbia

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
371
Reaction score
1,900
Yaani upare wangu huu unanikosesha pisi kali saana, yaani nikimtongoza binti yoyote hata awe mzuri vipi akianza kuniomba pesa sijui kusuka umeme mzuka unanikata kabisa.

Nipo radhi nikae nae sehemu ale anywe atakavyo lakini akianza kuleta shida zake kabla sijamla nakimbia.
 
Yaani upare wangu huu unanikosesha pisi kali saana, yaani nikimtongoza binti yoyote hata awe mzuri vipi akianza kuniomba pesa sijui kusuka umeme mzuka unanikata kabisa,

Nipo radhi nikae nae sehemu ale anywe atakavyo lakini akianza kuleta shida zake kabla cjamla nakimbia
Kuna mtu nimekaa nae apa anaomba kujua umri wako
 
Hii tabia huwa inakata stimu sana.
Kuna mmoja amekuwa rafiki yapata miezi 5 sasa,akafunguka kwamba kanikubali....kumbe ananivutia kasi,dah kanilipua mkwanja nkaona ngoja nipime upepo so nkamwambia sina kwa sasa doooh sa hivi hata msg yake siioni yapata week sasa.
Kuna time ninakuwa nimemkubali manzi ila wanaomba pesa nyepesi sana,hawajielewi.
 
Nakuunga mkono kwenye Hilo ila hapo kwenye kutongoza pisi kali halafu unategemea asiombe hela hapo mwenye tatizo wewe
 
Yaani upare wangu huu unanikosesha pisi kali saana, yaani nikimtongoza binti yoyote hata awe mzuri vipi akianza kuniomba pesa sijui kusuka umeme mzuka unanikata kabisa.

Nipo radhi nikae nae sehemu ale anywe atakavyo lakini akianza kuleta shida zake kabla sijamla nakimbia

Wanakera saana mtu mmechat siku ya kwanza cku ya pili anaanza kukuelezea matatizo yake eti gas imeisha ujinga tu ulimpikia nani mpaka ikaisha ujinga ujinga tu eti sijui nilipie king'uzi kimeisha sasa Mimi inanihusu nini tumekutana jumapil jumanne unaanza kuniorodheshea shida zako nani kakwambia pesa inaokotwa nenda nawe wanakookotaga

Lini uombe pesa wew leta mzigo uliwe upewe pesa ya nauli na kufulia from unaweza kueleza shida zako hapo unaweza hata kunidanganya na vimaneno vizur kama baba gas imeisha au mume natak kwenda saloon naweza kukuelewa lkn hujanipa chochote nianze kuumiza kichwa how rubish
 
Nakuunga mkono kwenye Hilo ila hapo kwenye kutongoza pisi kali halafu unategemea asiombe hela hapo mwenye tatizo wewe
Aombe baada ya kumla wewe mtu hujamla umetumia laki nzima ya kuhudumia asipokupa utelezi je hyo pesa nitalipwa na nani
 
Siyo wanawake tu, siku hizi kumeibuka tabia ya kipumbavu sana ya kuombwa ombwa hela hata na Midume..

Utasikia Ooh Bosi yaani hapa niko hovyo kinoma hata chai sijanywa, nitoe basi elfu tano nikapate supu pale!

Ukimwambia nikupe kazi hata ya kufagia kisha nikulipe unaona Jitu linajichekesha, Ooh sema sijajiandaa si unaona hata nguo zitachafuka?
Yaan mtu akuombe pesa alaf umpe kazi akatae fala huyo achana nae hakuna pesa ya bure kijana km una nguvu fanya kazi kama pesa nikikup nakukopesha
 
Aombe baada ya kumla wewe mtu hujamla umetumia laki nzima ya kuhudumia asipokupa utelezi je hyo pesa nitalipwa na nani
Elewa mzee huwezi kumtongoza mfano PaulaKajala then utegemee akuombe pesa baada ya kumla mapema tu atakutoboa tena pesa ndefu, huwezi muomba pisi kali tatizo nashindwa kukuwekea mfano ila haiwezekani asikuombe pesa ni atakutobo tu kabla ujamgonga

Kiufupi wanawake Wana categories tofauti na katika categories Kuna tupes inabidi ujue type ya mwanamke before una datenae utakuja laumu bure....kwa hapa umefeli wewe Bora usibgemtongoza tu umepoteza muda wako kwa kitu unachojua ni ABC alafu utegemee usipate ABC
 
Wa hivyo tuweke biashara mezani kama nitamudu sawa nikishindwa naacha, alaf hawa wanawake maarufu sio kama ni watamu kuliko hawa wengine
 
Kwani wewe ulivyosema Pisi kali kwamba hao ni watamu kuliko wengine hapa legeza fuvu..... kinachozungumziwa BRAND ya mwanamke uzuri na amejiwekaje ndio itakusaidia kujua type gani ya mwanamke
 
Hii tabia huwa inakata stimu sana.
Kuna mmoja amekuwa rafiki yapata miezi 5 sasa,akafunguka kwamba kanikubali....kumbe ananivutia kasi,dah kanilipua mkwanja nkaona ngoja nipime upepo so nkamwambia sina kwa sasa doooh sa hivi hata msg yake siioni yapata week sasa.
Kuna time ninakuwa nimemkubali manzi ila wanaomba pesa nyepesi sana,hawajielewi.
Wanajishusha thamani
 
Kwani wewe ulivyosema Pisi kali kwamba hao ni watamu kuliko wengine hapa legeza fuvu..... kinachozungumziwa BRAND ya mwanamke uzuri na amejiwekaje ndio itakusaidia kujua type gani ya mwanamke
Ukihonga usipopewa c hasara
 
Back
Top Bottom