Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,055 Reaction score 165,705 Jun 16, 2011 #1 Asante Mungu kwa kumchukua FATAKI aliye kuwa anatuharibia wanafunzi wetu, ndio maana hata matangazo ya kuwatahadharisha watoto wajikinge na Fataki siku hizi hayapigwi kwa kuwa kisha fariki.
Asante Mungu kwa kumchukua FATAKI aliye kuwa anatuharibia wanafunzi wetu, ndio maana hata matangazo ya kuwatahadharisha watoto wajikinge na Fataki siku hizi hayapigwi kwa kuwa kisha fariki.
Sumbalawinyo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2009 Posts 1,282 Reaction score 250 Jun 16, 2011 #2 Mazishi yamefanyika wapi?
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,730 Jun 17, 2011 #3 Sumbalawinyo said: Mazishi yamefanyika wapi? Click to expand... si kaburini jamani???
maishapopote JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 3,503 Reaction score 6,438 Jun 17, 2011 #4 hahahhaha bujibuji