Ukiachana na umaarufu wa CHUO CHA UALIMU TANDALA,HOSPITALI MAARUFU YA IKONDA labda labda na umaarufu wa mganga wa kienyeji dr.MWAKIPANDE na nyumbani kwa kina Deo Filikunjombe Wakinga wa MAKETE wapo taabani kwa umaskini ulio kidhiri,'KILA KITU WAO NI MWALIMI TU HATA KAMA UNAWADANGANYA,watu hawa wa makete ambao asilimia kubwa ni akina SANGA na MBILINYI hawajui cha kufanya ili umaskini angalau upungue kwao,Ukipita maeneo ya Masisiwe,Ikete,Maliwa,Sunji,LUPILA,Tandala,Lupalilo,Mago,Kasinga,Ndulamo,Iwawa,Idanganya,Makete Junction,Ivalalila ,BULONGWA na kwengineko MAKETE Unaweza ukadhani Watanzania Maskini ZAidi wanapatikana huku,Baada ya sekeseke la ukimwi kuwanyanyasa kwa muda mrefu sasa angalau Presure imepungua ila vijana wanapakimbia kabisa MAKETE hawapa taki kabisa kwasababu huwezi kuwa na hela na ukaishi MAKETE HALI NI MBAYA.
Arthi ya MAKETE inarutuba inayo kosekana sehemu kubwa hapa Duniani lakini Serekali ipo ipo tu,kule Mahindi,NGANO,SHAIRI,MTAMA,ALIZETI VIAZI,na mazao ya MIti yanakubali ile mbaya lakini mpaka leo tarehe 27/11/2013 MAKETE hawajapata Mbolea ya RUZUKU.Madini kila kona kule lakini WAKINGA ni maskini asikuambie mtu.HUku UKINGANI maji si ya tabu kabisa lakini kilimo cha umwagiliaji hakijafika huku kabisa ninahisi haya ni maajabu,Na watu wa huku wanakijua zaidi kilimo cha jembe la mkono katika karne hii ya 21.
MY TAKE:RAFIKI YANGU NAPE HEBU TUAMBIE KWANINI WAKINGA NI MASKINI!
MMELIONGOZA JIMBO HILO KWA MIAKA 50 SASA JE MNAJIPYA LA KUTUFANYIA WATANZANIA WA MAKETE!