UTANI WA WATANI
Nasikia kwa Tanzania Wakinga ndo wanaongoza kuwa na majina ya kizungu kama vile:-
Au wangoni akina George Mapunda,Tembo,Mkuu hao ni Wakinga au Wamakonde? Maana Wamakonde ndio huwa nasikia wananuua redio ili kupata majina ya watoto, ndio maana usishangae kusikia Mmakonde anasema "mie nchomba naitwa Dr Choni Komoni Magufuli"
Na foolish hahahaaaKweli mkuu Namfahamu Dengilisi Sanga yupo Uyole pale sokoni duka lake limeandikwa 'si ngekewa bali juhudi' pia nilisoma na Datsun Kyando primary
Rolls Royce Msigwa!Yutong Myovela
Hahhaha mweh!Rolls Royce Msigwa!