Wakinga Kwa majina ya kizungu hawajambo,ona haya

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
4,888
2,000
UTANI WA WATANI

Nasikia kwa Tanzania Wakinga ndo wanaongoza kuwa na majina ya kizungu kama vile:-
- Foton Kyando
- Garage Tweve
- Heaven Msigwa
- Japanese Chando
- Bed-ford Luvanda
- Scania Sanga
- Ambulance Mbilinyi
- Poplin Mbilinyi
- Vodacom Mahenge
- O'clock Kyando
- Handel Nyaluke
- Stupid Denglisi Sanga
- Rogic Mbilinyi
- Tompion Mahenge
- Spiring Cobis Nyaluke
- Cubic Ngailo
- South Lwila
- Ring Span-er Mahenge
- Arabia Sanga
- Vodka Mbilinyi
- Wholesale Luvanda
- Tomorrow Mahenge
- Yesterday Kyando
- Classmate Ndelwa
- Vox Wagen Mbilinyi
- Datsun Tweijisage
- Main Road Amagite
- Dog Luvanda
- Foolish Mbilinyi
- Church Pila
- Safeli Handbrake Fungo
- Jupiter Gearbox Fungo
- Cross Joint Nyaluke
- Balimi Ndeti
- Highschool Sigalla
- Anopheles Mahenge
- Facebook Kyando
- Network Chaula
- Password Mbilinyi
- Mtandao Swalo
- Spanner Mahenge
- Isuzu Bighorn Chaula
n.k
Wakinga mpo juu
 

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
4,888
2,000
Mkuu hao ni Wakinga au Wamakonde? Maana Wamakonde ndio huwa nasikia wananuua redio ili kupata majina ya watoto, ndio maana usishangae kusikia Mmakonde anasema "mie nchomba naitwa Dr Choni Komoni Magufuli"
Au wangoni akina George Mapunda,Tembo,
 

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
23,206
2,000
kuna mwingne nilisoma naye anaitwa danger sanga nikamuuliza kisa cha hilo jina akasema kuna lori la mafuta liliharibika kijijini kwao lilikuwa limeandikwa DANGER kwenye tanki wazazi alipozaliwa wakampa hilo jina akasema kwao kukuta mtoto anaitwa trekta au fuso ni kawaida kutegemea mzazi kipi alikipenda kama greda akiliona akafurahi linavyofanya kazi mtoto akizaliwa kumwita greda sio ajabu
 

Mruma J

Senior Member
Jan 27, 2018
121
225
UTANI WA WATANI

Nasikia kwa Tanzania Wakinga ndo wanaongoza kuwa na majina ya kizungu kama vile:-
- Foton Kyando
- Garage Tweve
- Heaven Msigwa
- Japanese Chando
- Bed-ford Luvanda
- Scania Sanga
- Ambulance Mbilinyi
- Poplin Mbilinyi
- Vodacom Mahenge
- O'clock Kyando
- Handel Nyaluke
- Stupid Denglisi Sanga
- Rogic Mbilinyi
- Tompion Mahenge
- Spiring Cobis Nyaluke
- Cubic Ngailo
- South Lwila
- Ring Span-er Mahenge
- Arabia Sanga
- Vodka Mbilinyi
- Wholesale Luvanda
- Tomorrow Mahenge
- Yesterday Kyando
- Classmate Ndelwa
- Vox Wagen Mbilinyi
- Datsun Tweijisage
- Main Road Amagite
- Dog Luvanda
- Foolish Mbilinyi
- Church Pila
- Safeli Handbrake Fungo
- Jupiter Gearbox Fungo
- Cross Joint Nyaluke
- Balimi Ndeti
- Highschool Sigalla
- Anopheles Mahenge
- Facebook Kyando
- Network Chaula
- Password Mbilinyi
- Mtandao Swalo
- Spanner Mahenge
- Isuzu Bighorn Chaula
n.k
Wakinga mpo juu
Ebwana nikweli haya usemayo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom