Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,836
Na huyu bushuti aliyekuja na humtaki unamzinguajeKumkonyeza tu, kama mdomo wake mzito ni kumfata na kumwambia ukweli, maana hakuna namna....
Msonyo tu unamtoshaNa huyu bushuti aliyekuja na humtaki unamzinguaje
Wacha wee kesho nitawatafuta washikaji zangu tufanye practicalKumkonyeza tu, kama mdomo wake mzito ni kumfata na kumwambia ukweli, maana hakuna namna....
Ha ha ha mxyuuuuuuuuuu utaambulia hiyo lolWacha wee kesho nitawatafuta washikaji zangu tufanye practical
Hahhahahaaaa msonyo kaa busu lolHa ha ha mxyuuuuuuuuuu utaambulia hiyo lol
Kumkonyeza tu, kama mdomo wake mzito ni kumfata na kumwambia ukweli, maana hakuna namna....
Weee hakuna mkate mgumu mbele ya chaiJe kama yeye hajakukubali??
Weee hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Kwa chai hizi zisizowekwa kwenye Chupa,,,Sukari mpaka Magufuli aagize nje !!!!Weee hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Looh[emoji12]Weee hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Hapa Jf aiseee..hahaa ngoja tucheke tuKumkonyeza tu, kama mdomo wake mzito ni kumfata na kumwambia ukweli, maana hakuna namna....