Elections 2010 Wakina nani watasimamishwa Igunga?

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
836
Baada ya aliye kuwa mbunge wa Igunga, bwana Rostam Aziz kujiuzulu nafasi hiyo je ni wagombea wapi ambao wanaweza kupitishwa na vyama vyao kugombea huko? Tetesi nilizo sikia ni kwamba RA atamsupport Bashe kuziba nafasi yake japo hilo halina uhakika.

Ushauri wangu kwa wapinzani ni waanza kujiandaa mapema kuandaa wagombea kwa maana nina uhakika CCM tayari walisha jiandaa na hili kabla hata taarifa hazi jawa rasmi.

Je kwa mawazo yenu ni wakina nani wasimamishwe Igunga na vyama mbali mbali?
 
utaratibu mzima wa kupata wagombea from each party ni mbovu. Badala ya kusimamishwa wale wanaopendekezwa na wanachama wanawekwa wale kutoka establishments na ndio maaana tunapata mijitu ileile na hatutaweza kuendelea
 
utaratibu mzima wa kupata wagombea from each party ni mbovu. Badala ya kusimamishwa wale wanaopendekezwa na wanachama wanawekwa wale kutoka establishments na ndio maaana tunapata mijitu ileile na hatutaweza kuendelea

Kujuana sana kila sehemu bongo hii ndo tatizo
 
ili kupata picha kamili ingawa hali ya kisiasa imebadilika sana kuna haja ya kuangalia matokeo ya ubunge ya mwaka jana 2010
yalikuwaje na kujua udhaifu ulikuwa wapi na nini cha kufanya ili kulichukua jimbo hilo mikononi mwa ccm. mpaka imefikia mahala pa
ccm kumkubalia rostam ajiuzulu hujue kuwa wameshafanya uchunguzi wa kutosha kwahiyo kuna haja ya wapinzani kuwa makini sana
kufanya uchunguzi wa kutosha.
 
Mimi nashauri wapinzani wajitahidi sana kusimamisha mtu anaetakwa na wananchi na siyo nani wana taka kumpa "zawadi" kama wana taka kushinda
 
Bashe si mzega awez gombea iguga then 2015 arudi nzega ataonekana tamaa mbele yeye kwanza anabifu na kigwagwala akienda igunga itaonekana kamkimbia jamaa wakat yeye bashe anajiona ni kipenz cha wana nzega.cdm wawe makini please mwenye kumbukumbu ya matokeo ya jimbo la igunga uchakuzi uliompitisha RA matokeo kwa kila chama kilichoshriki tafadhal.
 
Hakuna ataeweza kuchukua kiti mpaka aidhinishwe na "King Maker" ikiwa, kama wanavyo dhani wengi, aliweza kuiweka Serikali iliopo madarakani atashindwaje kumuweka Mbunge amtakae yeye? Anaetaka kuukwaa Ubunge Igunga, akaongee nae vizuri!
 
Back
Top Bottom