Wakina Nani walichoma bendera za CUF?

Wakina Nani walichoma bendera za CUF?

Hata mashabiki uwa wanafanyaga fujo taifa,wanavunja mageti faini inapigwa club sio mashabiki,,
Unaweza ukawa shabiki wa ACT ,CDM,CUF ,CCM
lakini usiwe na kadi ya chama na bado ukawa na mihemko kuliko wanachama wenyewe
haijarishi wewe ni mwanachama au shabiki ili mradi ulichoma nembo ya chama kingine na hiko chama kilikaa kimya kana kwamba wanafurahia kitendo hicho
Sheria inachukua mkondo wake,kama wewe ndio uliowatuma kuchoma hizo nembo full stop..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani awamu zinapita Tanzania haipiti, kuna maisha baada ya kila awamu. Umoja wetu ndiyo nguzo ya matumaini.
 
Hata mashabiki uwa wanafanyaga fujo taifa,wanavunja mageti faini inapigwa club sio mashabiki,,
Unaweza ukawa shabiki wa ACT ,CDM,CUF ,CCM
lakini usiwe na kadi ya chama na bado ukawa na mihemko kuliko wanachama wenyewe
haijarishi wewe ni mwanachama au shabiki ili mradi ulichoma nembo ya chama kingine na hiko chama kilikaa kimya kana kwamba wanafurahia kitendo hicho
Sheria inachukua mkondo wake,kama wewe ndio uliowatuma kuchoma hizo nembo full stop..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kanuni namba ngapi kwenye daftari la siasa za vyama vingi? Tusiamue Kwa hisia na utashi.
 
Wakati wanazichoma moto bendera za CUF walikuwa na Kadi za chama gani? Walikuwa wanachama wa CUF au ACT Wazalendo?
Wakati wanachoma moto bendera za CUF walikuwa wameshapokelewa rasmi kuwa wanachama wa ACT au walikuwa wanadhamilia kujiunga na ACT?

Mwenye majibu atujuze.
WALIOCHOMA BENDERA ZA CUF WALIKUWA WANACHAMA WA CUF WENYE HASIRA NA CHAMA CHAO HATA PROF.ANALIJUA HILO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom