Wakina Nani walichoma bendera za CUF?

Wakina Nani walichoma bendera za CUF?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,252
Reaction score
16,171
Wakati wanazichoma moto bendera za CUF walikuwa na Kadi za chama gani? Walikuwa wanachama wa CUF au ACT Wazalendo?
Wakati wanachoma moto bendera za CUF walikuwa wameshapokelewa rasmi kuwa wanachama wa ACT au walikuwa wanadhamilia kujiunga na ACT?

Mwenye majibu atujuze.
 
msajili anafanya maamuzi bila hata kuwepo kwa malalamiko police wala mahakamani..
 
Wakati wanazichoma moto bendera za CUF walikuwa na Kadi za chama gani? Walikuwa wanachama wa CUF au ACT Wazalendo?
Wakati wanachoma moto bendera za CUF walikuwa wameshapokelewa rasmi kuwa wanachama wa ACT au walikuwa wanadhamilia kujiunga na ACT?

Mwenye majibu atujuze.
Majibu umeshayatoa tayari, walikua wanachama wa CUF waliokasirika na hawakua wanachama wa ACT bado. In fact waliotakiwa kufutiwa uanacha ni CUF wenyewe na sio ACT
 
Na walichoma wapi na saa ngapi na ni nani kachoma? Mwenye ushahidi alete hapa jamvini tuuone. Video ya youtube haiwezi kuwa ushahidi kama kuna wanachama wa ACT wamechoma moto bendera ya CUF. Kama ni mamluki wamefanya hivyo ili chama kionekane kina fujo utamchukuliaje hatua ACT? Wapatikane hao waliochoma moto kama kweli wapo, wahojiwe na waseme nani aliwatuma kuchoma moto hiyo bendera!!! Nadhani mamlaka ina woga tu na ACT maana kimeibuka na kuwa nambari mbili badala ya CUF kutoka kuwa kachama kadogo sana. Ila nimefurahi kwa ajili ya ZZK maana CDM walimfanyizia sana. Angalau anapumua sasa. Tuhuma zote walizomtupia hawajazithibitisha kwetu hivyo wengine tunaona ngumu kumeza.
 
Majibu umeshayatoa tayari, walikua wanachama wa CUF waliokasirika na hawakua wanachama wa ACT bado. In fact waliotakiwa kufutiwa uanacha ni CUF wenyewe na sio ACT
Ha haha!!! Umenena mkuu. CUF ifutwe maana wanachama wake wamechoma bendera yao.
 
Wakati wanazichoma moto bendera za CUF walikuwa na Kadi za chama gani? Walikuwa wanachama wa CUF au ACT Wazalendo?
Wakati wanachoma moto bendera za CUF walikuwa wameshapokelewa rasmi kuwa wanachama wa ACT au walikuwa wanadhamilia kujiunga na ACT?

Mwenye majibu atujuze.
Wafuasi wa CUF wenyewe
 
Ajabu wao wakisimama majukwaani utasikia assalaam aaleykum, Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu kristo! Sijasikia msajili akilalamika.
 
Nisaidieni kumtag huyo msajili, tuone kama anawafahamu hao na aliwachukulia hatua
IMG_20190326_065530.jpeg
IMG_20190326_065518.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kusema takbra ni kueneza dini.....maajabu ya msajili haya....
Augustine Matefu Kada wa CCM ametekeza Mali za ACT Wazalendo huko Kigoma wakati akipokea wanachama wapya waliojiunga na CCM wakitokea ACT wazalendo(Kwa Mujibu wa Maelezo yake Augustino).

Pia Augustino alieneza UDINI katika siasa baada ya Kutamka kwamba Anawabatiza wanachama kwa MAJI kama wafanyavyo wakristo wakibatiza waamini wao.

Jaji MITUNGI inabidi akiandikie Barua CCM kwanini kisifutwe kutokana na matendo waliyofanya huko KIGOMA na mmoja wa KADA WAO.
 
Ajabu wao wakisimama majukwaani utasikia assalaam aaleykum, Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu kristo! Sijasikia msajili akilalamika.
 
Wakati wanazichoma moto bendera za CUF walikuwa na Kadi za chama gani? Walikuwa wanachama wa CUF au ACT Wazalendo?
Wakati wanachoma moto bendera za CUF walikuwa wameshapokelewa rasmi kuwa wanachama wa ACT au walikuwa wanadhamilia kujiunga na ACT?

Mwenye majibu atujuze.
Msajili ana wenge sana..! Mihemko ni ujinga mtupu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom