asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Atakua kakataliwa huyo,hana hela anataka amiliki mchuchu!majanga
ha ha ha ha ha , , , huyu atakuwa kakutana nalo huko pm,,,,,,,
hivi ukipewa hizo hela utatumia njia gani tena kumkataa?
Atakua kakataliwa huyo,hana hela anataka amiliki mchuchu!majanga
inawezekana yuko kwe biashara zake
Mwanamke makalio, sura hata mbuzi anayo.
Hii salam imefika
kwani yamekukuta na wewe ndugu yangu
hapana twin, nawe umekuwa popo?
usingizi umeisha ghafla..nawe yamekusibu yetu?
nami umekata nikaangukia jf, yako na nani?
na wewe usielala....m nahisi mchawi kapita...
na mda mfupi uliopita nasikia ndio time zao.
wale nao sijui wanalala sangap...asubuhi busy...usiku busy kukalia migongo ya watu...
sijafichwa ndugu basi tu miundo mbinu hafifu nikuwa kwe chamaNimekumiss leo umefichwaa
sijafichwa ndugu basi tu miundo mbinu hafifu nikuwa kwe chama
Mwanamke nyongaaa babuu! Makalio hata baba mkwee anayo
Hahahaaaaa!
Kama huna mkwanja, madem bomba watabak kuwa shemeji zako....
hela nakula,na maku hapatiha ha ha ha ha , , , huyu atakuwa kakutana nalo huko pm,,,,,,,
hivi ukipewa hizo hela utatumia njia gani tena kumkataa?