Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,088
usiku mwema mkuu. Kuna kausingizi kananitongoza hapa,ngoja nikakubalie.
!
!
shkamo anko
usiku mwema mkuu. Kuna kausingizi kananitongoza hapa,ngoja nikakubalie.
mapenzi pesa baba maua waachie nyuki
NIMEANDIKA KISHKAJI ILA UJUMBE UMEFIKA
Polee kwa yaliyokukuta...!!
Ila uelewe tuu kwamba sio wadada wote wako hivyo..!
Kuna mtu unamlenga humu?
wakina dada wa sasa noma sana unamtongoza leo kwavile ume introduce wazo geni ambalo alikuwapo kichwani mwake inamchukua siku kadhaa kukubali/kukataa sasa balaa linakuja pale atakapo taka kuamini huyu jamaa ananipenda kweli UNAJUA MNATUMIA MBINU GANI??????????
MWANADADA ATOMBA PESA KIASI(HIKI NDIO KIPIMO KUJUA KAMA ANAPENDWA)USIPOMPA BASI UMEVURUGAA SITAKI KUAMAINI ILA NDO IVO...NIMEANDIKA KISHKAJI ILA UJUMBE UMEFIKA..
ASANTEN SANA
Kwa hyo unashauri tupimeje upendo wenu?...
tunaomba pesa tujue kama unajua majukumu na si type ya kina yahaya
Ww unaomba hela mwanaume b4 hujampa tunda?
!
!
shkamo anko
Oh...so nakuwa kama nanunua sio?
awapi mi nimesema tu
awapi mi nimesema tu
Mkono kwa mkono akiomba pesa na wewe omba mzigo mwambie pesa haina tatizo leta mzigo nikupe akisema yupo kwenye moon mwambie namie pesa zipo ATM.
Kuna mtu unamlenga humu?