Hahahaha... Mbona jazba jmnWajinga hao,tuwanyanganye kadi za uanaume,pumbavu mwili mzima hao
Sky EclatWe acha kunawake wanamaliza kilo ya dona na maharage, ukiingia ndani anakuwakia umetoka wapi? Ukichelewa kujibu umekula zinga la kibao. Kwa kweli kuna wanaume wananyanyasika sana kwenye ndoa na hawawezi kusema hadharani.
Serikali ipige marufuku wanawake kuhudhuria madojo ya Martial Arts.
Wifi inaelekea anapiga exercise na yuko fit.Mimi nimeanza kwenda mazoezi ya karate juzi baada ya mke wangu kunipiga vibao vya nguvu kisa eti katukuta tunapiga story vizuri na housegirl huku tunapasiana viganja/makofi na kucheka kwa furahaa na nilishindwa kumdhibiti kabisa mke wangu, nimepata aibu sana kwani niliishia tu kulia kama mtoto mdogo!
Mda mwingine sio kama wanaume wanashindwa kuwapiga hao wanawake....tatizo sheriaWajinga hao,tuwanyanganye kadi za uanaume,pumbavu mwili mzima hao
Mimi nimeanza kwenda mazoezi ya karate juzi baada ya mke wangu kunipiga vibao vya nguvu kisa eti katukuta tunapiga story vizuri na housegirl huku tunapasiana viganja/makofi na kucheka kwa furahaa na nilishindwa kumdhibiti kabisa mke wangu, nimepata aibu sana kwani niliishia tu kulia kama mtoto mdogo!
Hili liwe identified, hatuwezi kuwa na siku ya wanawake na kuna kundi la watu wanaishi kinyonge. Waweke sheria ya kumlinda mwanaume anaeteseka kwenye ndoa. Matatizo tumejijengea kuwa wa anaeonewa ni mwanamke tu.Mda mwingine sio kama wanaume wanashindwa kuwapiga hao wanawake....tatizo sheria
Unaijua vizuri kesi ya kumpiga mwanamke?
Hahahs poleSasa kama mwanamke amenizidi kipato nitafanyaje sasa? Itabidi nipigwe tu maana hakuna namna nyingine maana siwezi kumkasirisha asije akaniacha nikateseka mie.
ahahahah!!!! dah!!! nmechekaMimi nimeanza kwenda mazoezi ya karate juzi baada ya mke wangu kunipiga vibao vya nguvu kisa eti katukuta tunapiga story vizuri na housegirl huku tunapasiana viganja/makofi na kucheka kwa furahaa na nilishindwa kumdhibiti kabisa mke wangu, nimepata aibu sana kwani niliishia tu kulia kama mtoto mdogo!