Wakimbizi wa Burundi kabila moja na chama kimoja?

Wakimbizi wa Burundi kabila moja na chama kimoja?

Mmnnnhhhh kuna swali moja liliulizwa kwenye hearing ya congress limenifanya niwe na shaka...mama mmoja aliuliza kama ni kweli aliyejaribu kupindua Burundi alikuwa trained Rwanda..sijui training kama ya Arusha au ya aina gani...afu aliyeuliza alipoona walioulizwa wameshtuka akayeyusha na maswali mengine...aliuliza wazi kabisa kama kuna link kati ya Rwanda na jaribio la Burundi lililofeli.
 
Kuna binadamu wengine unaweza kuhisi labda sio binadamu ....

Hawa binadamu wanaoitwa Watutsi naanza kupata maswali mengi sana kuwahusu ......
 
Mmnnnhhhh kuna swali moja liliulizwa kwenye hearing ya congress limenifanya niwe na shaka...mama mmoja aliuliza kama ni kweli aliyejaribu kupindua Burundi alikuwa trained Rwanda..sijui training kama ya Arusha au ya aina gani...afu aliyeuliza alipoona walioulizwa wameshtuka akayeyusha na maswali mengine...aliuliza wazi kabisa kama kuna link kati ya Rwanda na jaribio la Burundi lililofeli.

Wamarekani nao ni wanafiki sometimes:

Huyo hapo wa kwanza kushoto ni commander wa US Africa command (AFRICOM), kati kati ndio huyo Niyombere na kulia ni Liutenant general Charles Kayonga wa Rwanda. Kazi ya Africom ni kulinda maslahi ya marekani e.g access ya madini ya DRC bila kujali maslahi ya waafrika ikibidi hata kusupport madikteta kama Kagame. Nahisi huyo aliyeuliza swali aligundua kuwa mwisho wa chain of command inaweza kuwa hapo hapo kwao na sio Rwanda!

Cheo cha General Charles Kayonga cha chief of defense staff jukumu lake huwa ni kuratibu machafuko katika nchi jirani na Rwanda, mfano mzuri ni former chief of defense wa Rwanda James Kabarebe ambaye aliratibu machafuko ya M23. Hata UN wanajua! Hivyo ukiwa karibu karibu na mtu wa cheo hiki lazima utiliwe nyumbani kwenu utiliwe shaka kuwa wewe ni puppet wa kagame tu!
Rwandan minister is leader of Congo rebels, UN says. Leaked report names General James Kabarebe as de facto commander of militia accused of rape and other atrocities

Sasa angalia tena huyu Niyombere alivyokuwa karibu na Kayonga wakati huo.
7-Rwanda.jpg

source pamoja na CV ya General kayonga: Charles Kayonga in Britain: UK crime agency ‘failed to act on arrest warrant for Rwandan general'

14608-4-1-RDF-Chief-of-Defence-Staff-Lt-Gen-Charles-Kayonga.jpg

Hapa tena Gen Niyombere akiwa na Liutenant General Charles Kayonga wa Rwanda (chief of defense staff wakati huo).

Jumlisha na kubainika kwa spies wa Rwanda wanaofanya kazi kwenye telecoms na media za burundi wakiratibu maandamano, tayari Rwanda inadai FDLR na interahamwe somehow wamepenya majeshi yoote ya UN kule DRC na sasa wako Burundi! fact ni kuwa maandamano yapo concentrated kwenye maeneo ya watutsi peke yao pale Bujumbura, watutsi ambao wanachoma majengo, wana silaha, wanashambulia polisi n.k. Yanatengenezwa mazingira ambayo polisi wakijibu mapigo watakuwa accused of genocide, halafu puppets kama hawa kina Niyombere watumike kuleta utawala wa Rwanda ambayo itajifanya imeingia kudhibiti genocide against tutsis.

Nkurunzinza anajua tatizo linatokea wapi ndio maana alitoa tamko kwenye ile speech yake ya majuzi wala hakukopesha.
Nkurunziza seen warning Rwanda over coup, says 'any war will be fought on the other side of the border'
 
watutsi wanakimbilia Rwanda, wahutu wanakimbilia Tanzania.
kumbe? interesting... haya basi tujuze inakuwaje hivyo? huku kwenu tumewapokea wote bila kujali makabila yao... hao waliokupa hifadhi wanataka wahutu tu? kweli hiyo nchi wahuni wameiharibu! nasikia hata warundi wa opposition waliokuja kuhudhulia mkutano wa kutatua matatizo yao ya Burundi mmewatia mbaroni... mnanikumbusha mzee Malecela aliyefunga wanyarwanda kipindi kileee
 
Back
Top Bottom