Wakimaliza ndo akili itarudi!!

Wakimaliza ndo akili itarudi!!

halafu bei ya mafuta imeanza kushuka USA. $ 3.30/ gallon, Nebraska! kwingineko vipi?
 
Nasikia India wanauziwa asilimia kadhaa za ardhi ya Bongo. Sijui ndo utumwa wa kileo unaanza kuota upya.
 
Back
Top Bottom