Wakili wa kujitegemea Hekima Mwasipu ajitolea kumshitaki msanii Amber Ruth

Huyo wakili.kwa nin asiisaidie jamhuri kwenye kesi ya accasia tulipwe hela zetu kuliko kutafuta cheap popularity kwa mshenzi mmoja ambae hata.hana faida kwenye jamii kama ni hizo video kwenye mitandao zipo nyingi sana za watanzania, au carrier yake hajawah itumia ndo anataka aanze.nae kwa kupiga mvua ya maisha mtoto wa mzazi kama yeye
 
Atalipwa na nani kwa hiyo kazi zaidi ya kutafuta kiki???we nae usiongee vitu usivyovijua...mi kazi yangu mbeba zege
Hiyo ni kesi itayofuatiliwa na watu wengi na bila inaandikwa sana kwenye mitandao na magazeti hivyo kumfanya ajulikane kwa watu wengi
WATU WANATUMIA MAMILIONI PESA KUTANGAZA BIASHARA ZAO
 
Jina la Hekima Mwasipu limeingia katika vitabu vya historia kama jina la Wakili mwenye hekima kama jina lake, aliyetusitiri Watanzania.

Kila mtu ana haki ya utetezi. Huu ni msingi mkubwa wa mfumo wetu wa sheria.

Kila mtu ana haki ya kuchukuliwa hana makosa mpaka mahakama itakapomhukumu.
Hii ni kanuni ya ustaarabu na misingi ya sheria sehemu nyingi duniani.

Namtakia mafanikio yeye na mteja wake, wayamalize haya masahibu ya dunia kwa kuwa funzo zuri kwa wengine, waendelee na maisha yao vizuri.
 
Mkuu bado nasubiri uniingize kwenye lile group!
 
Hekima Mwasipu katika mambo yote yanayoendelea tanzania, hasa kisiasa na hapa tulipo, umeona la Amber ndilo tatizo kubwa walilonalo watanzania? Ya wanasiasa wetu na marais, akina DAB , Msiba and the like huyaoni, umeona hili la ngono!
yaani hata mimi nashangaa! hivi viongozi wa namna hii kweli wanaweza kutuletea maendeleo kweli!!..dunia ya leo hii mambo kama hayo si ya kufuatilia,kuna mambo mengi yanatusumbua kama taifa,tungeelekeza nguvu zetu huko,sasa ona mkuu wa mkoa anatumia nguvu nyingi kwa mtu kichaa,au chizi kama amber ruti,yaani utafikiri amber ndo mtu wa kwanza kufirw* hapa duniani,.kama hawataki explicit contents kama hizi si wazizuie contents zoote na zitokazo nje!!aisee tuna safari ndefu sana watanzania
 
Back
Top Bottom