McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 889
- 2,863
Wakuu,
Baada ya media kuanza kuripoti kinachoendelea mahakamani na statements wanazotoa mashahidi kuchekesha na kuonekana ni za ajabu ajabu jamaa wameona sasa waanze kubana na kukataza hizo proceedings za kuripotiwa
Jamaa wanakaba kila sehemu
=========
Mhe Lissu: Siku ya jana tuliambiwa Shahidi aliyepaswa kuendelea ambaye ni mpelelezi Mkuu alipata msiba hivyo ataendelea leo, sasa wanatwambia kuwa huyu shahidi wanayemuombea notice anayo maelezo ya ziada ni kwa nini tusiendelee na mashahidi waliopo kwanza wakati wakifuata utaratibu.
Katuga: wameshimiwa Majaji naomba tuendelee na submission ya hii notice kwanza kabla ya kuendelea kusikiliza mashahidi wengine ili tujue kama tutaruhusiwa kumleta huyu Shahidi.
Majaji wanaendelea kujadiliana hapa.
Mhe.Jaji: kwa sababu tayari tunao mashahidi wengine hii issue ya notice ibaki reserve isubirie kwanza tutaizungumzia baada ya kumaliza mashahidi waliopo, hivyo tuendelee na mashahidi waliopo kwanza.
Mkude: Mhe.Jaji tunaomba tuadress mambo yanayoendelea katika premise ya mahakama kuhusu mashahidi kabla hatujaendelea.
Mhe.Jaji: mshitakiwa ameomba kujua ni mambo gani hayo, yasijekuwa mambo ya kutupotezea muda yanayohitaji tuanze kuandika rulling kwanza na kutuzuia kuendelea.
Wakili Mkude: mheshimiwa Jaji kuna mambo yamekuwa yakiendelea na mshitakiwa amekuwa akiadress baadhi ya mambo. Tangu kesi ianze kuna mambo yamekuwa yakijadiliwa kuhusu mashahidi wanavotoa ushahidi wao, katika mitandao ya kijamii mambo yamekuwa yakizungumzwa namna mashahidi wanavotoa ushahidi wao, wengine wakiitwa waongo, hatukatazi kureport muenendo wa kesi lakini usiathiri proceedings. Kifungu 114 cha Penal Code.
Soma Pia:

- Shahidi wa Kesi ya Lissu (P7): Nauli ya kuja mahakamani leo nimepewa na mwanamke wangu. Ndiye ananiweka mjini
- Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 17, 2026, mashahidi wa Jamhuri wasiopungua watatu wangojewa
- Kesi ya uhaini dhidi ya Lissu: Shahidi wa saba kati ya 30 wa Jamhuri kuanza kutoa ushahidi
- Kesi ya Lissu | Shahidi wa Siri (P6): Lissu alisema tunakwenda kuvuruga uchaguzi na kukinukisha
- Kesi ya Lissu: Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho, kilichosababisha Kesi kuahirishwa
- Baada ya takribani miezi mitatu, kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 9, 2026
- Kesi ya Lissu: Mahakama yaagiza Kizimba cha Mashahidi wa siri kirekebishwe Majaji wawaone. Kesi kuendelea Feb 12, 2026
- Kesi ya uhaini ya Lissu, mahakama kutoa uamuzi wa mapingamizi leo Feb 11, 2026
- Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu kuendelea Februari 9 hadi Machi 6, 2026
- Shahidi wa kesi ya Lissu (P7) anasema alikamatwa mara tu baada ya kuangalia video ya Lissu iliyokuwa Jambo TV
- Kesi ya Lissu | Shahidi wa siri (P5): Niliona video ya Lissu akisema atakinukisha, uchaguzi mkuu hautafanyika
- Mama wa CHADEMA azimia mahakamani baada ya Lissu kudai kunyimwa chakula
- Mahakama kuu, Kanda ya Dar es salaam Tarehe 11 Februari, 2026 kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu