GE2025 Wakili Maduhu William: Mgombea Mwenza Urais wa Mpina hawezi Kugombea

GE2025 Wakili Maduhu William: Mgombea Mwenza Urais wa Mpina hawezi Kugombea

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Kulingana na mijadala iliyojitokeza kuhusiana na Kesi ya Mgombea Urais Chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, Kuzuiliwa KUgombea Urais na Tume huru ya Uchaguzi ikidaiwa hana sifa za kuwa mgombea, Chombo cha habari EATV imemuhoji Wakili Maduhu William, wakili wa kujitegemea ambaye alieleza kwamba Mgombea mwenza hawezi kwenda peke yake kugombea kama hamna mgombea Urais hivyo inamfanya mgombea mwenza wa Urais wa Luhaga Mpina kukosa vigezo vya kugombea kwenye Uchaguzi huu endapo Mpina hatogombea


 
Back
Top Bottom