Wakili Peter Madeleka ambaye pia ni Mgombea Ubunge Jimbo la Kivule kupitia chama cha ACT Wazalendo leo Septemba 25, 2025 akizungumza na waandishi wa habari ameelezea kisa cha kesi ya Johanna Chifunda namna ambavyo Mahakama imeshindwa kutoa haki na Jaji Hemedi kutozingatia uendeshwaji wa kesi hiyo ipasavyo kwa mujibu wa sheria inayosimamia muenendo wa uendeshwaji mashauri ya madai nchini sura 33
Kupitia kesi hiyo Wakili peter Madeleka ameitaka Tume ya Maadili ya Viongozi wa umma kuwa na utaratibu wa kukagua majaji, mahakimu na viongozi wengine wa serikali wanapoingia kwenye ofisi ya umma wana mali gani na wanapotoka vilevile ili kuepuka unyongwaji wa haki