GE2025 Wakili Madeleka: Mahakama ichukue hatua dhidi ya Polisi kwa vitendo vya ukiukaji Sheria

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
‎Wakili Peter Madeleka ameiomba Mahakama kuchukua hatua kutokana na vitendo vinavyofanywa na Jeshi la Polisi kwa kufika maeneo ya mahakama, kukamata pamoja na kupiga raia na hata kumkamata Wakili Deogratius Mahinyila kwa kile alichoeleza kuwa ni kinyume cha sheria na utaratibu.

‎"Kwa siku za hivi karibuni, Polisi wameanzisha mtindo, wa kuwa wanakwenda mahakamani, kuvamia watu, kukamata watu, kupiga watu na Mahakama inakaa kimya. Kuna wakili mwenzangu juzi kupigwa Mahakamani, Deogratius Mahinyila, kapigwa. Na ninashukuru Mungu chama cha Mawakili wa Tanganyika wameshachukua hatua" amesema Madeleka

Mpuuzi mmoja hiyu, kinyonga asiye na rangi maalum
 
Huyu si yuko kwenye listi pendwa ya Polepole ya waenda jela? Au?
 
Back
Top Bottom