Akizungumza akizungumza katika Mdahalo wa "Jicho la Wanasheria Uchaguzi Mkuu 2025" kipindi cha Star TV ameelezea mchakato wa uchaguzi na Matokeo ya uchaguzi ambapo Ibara ya 74 ibara ndogo ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapiga Marufuku kupinga au kuhoji Maamuzi au Matokeo ya uchaguzi yanayotolewa na Tume huru ya uchaguzi