Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 25, 2025 Wakili Peter Madeleka ambaye pia ni Mgombea Ubunge Jimbo la Kivule Kupitia Chama cha ACT Wazalendo ameelezea muenendo wa Mahakama nchini inavyoendeshwa kinyume na katiba na kutotoa haki kwa wananchi
" Hakuna utu kama hakuna haki asikudanganye mtu, utajenga madaraja, utajenga barabara kama watu hawana haki wananungunika, hawana uhakika hata wa maisha yao huwezi kutegemea wafurahie hicho unachokifanya cha kujenga madaraja. Sisi tunataka mahakama iwe huru tunataka mahakama itoe haki hata usipotujengea barabara sisi hatuna shida. Tunataka Tanzania ya wote inatoa maslahi kwa wote"- amesema Wakili Peter Madeleka