Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Wakili wa Kujitegemea na kada wa Chama cha ACT Wazalendo Peter Madeleka leo, Jumamosi Mei 31.2025 amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kupeperusha bendera ya Ubunge wa jimbo la Kivule, Dar es Salaam
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza na Waandishi baada ya kuchukua fomu hiyo kwenye ofisi ya ACT Wazalendo jimbo la Kivule, Wakili Madeleka amesema amefikia maamuzi hayo kufuatia kushuhudia hali duni ya maisha na ukosefu wa huduma za jamii kama vile maji, afya, miundombinu ya barabara nk, kwa wakazi wa jimbo hilo jipya hivyo anaamini endapo atapewa ridhaa na chama hicho, na endapo atachaguliwa na wakazi wa jimbo hilo basi ataongoza kutafuta majawabu ya kero zao